Wanaume wa Dar wanashindana urembo na dada zao!!!!

wabongo tunaiga mambo ya kipuuzi toka kwa wazungu ila yale ya msingi tunawachia wenyewe.ujinga sna

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Nilishasema muache ulimbukeni life iz change nyonyoooo
Nyie wa mikoani msokua hata na kuoga hamjui mwaoga kwa mwaka mara 2
malimbukeni kuvaa hamjui hata mapenzi ni zeroo babu we awatake nan??
 
jamani hayo ni sehemu ya maendeleo ya serikali yetu tukufu ya chama cha mapinduzi,chadema mmekalia kupinga na kukosoa kila kitu,mtuache na serekali yetu,inaytufanya tuwe wa kisasa zaidi
 
Nilishasema muache ulimbukeni life iz change nyonyoooo
Nyie wa mikoani msokua hata na kuoga hamjui mwaoga kwa mwaka mara 2
malimbukeni kuvaa hamjui hata mapenzi ni zeroo babu we awatake nan??
We ni mwanaume au mwanamke??

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
jamani hayo ni sehemu ya maendeleo ya serikali yetu tukufu ya chama cha mapinduzi,chadema mmekalia kupinga na kukosoa kila kitu,mtuache na serekali yetu,inaytufanya tuwe wa kisasa zaidi
Sidhanii kama mtukufu anapenda mapunga nchini kwake!!

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Wivu tu. Hutofautiani na walimu. Wao kazi yao ni kupinga fasheni tu. Hawajui hata wanataka suruali na sketi za namna gani. Ikija fasheni mpya tu wanaanza vita.
Fasheni ujinga hizo aisee kama ni mmoja wao jitoe. Mabinti wa kiume mnatia aibu sana. Mungu saidia kijana wangu asiingiwe na huu ufala. Mmekuwa wajinga mpaka mnakuta mmetoa mtandao a 0713

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
ukiwashauri ooh we mshamba hujui kwenda na wakati?? yanii kufanana na dada zenu.ndo usasa??

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Kuongezeka kwa wanaume wanaofanya scrub, mask, wanaoweka wave ni kihashiria tosha sasa wanawake wamepata washindani.

Sijambo lakushangaza kumkuta mtoto wa kiume, mwanaume amevaa jeans iliyobana miguu na kuchora mapaja yake,eti inaitwa kamatia chini .

Sasa nyie wanaume wa Dar mnataka kutonesha nini? mnashindana kuonesha mapaja yenu yalivyo nona kama dada zenu wanavyofanya?wanaume wa dar kwa thatha akitembea na dada yake inakupasa kuwa makini kuwatofautisha!wote wameweka nywele dawa,lipstick wamepaka,kijana anaukia kuliko dada yake,kavaa jeans kamati chini!

Ndo maana siku hizi hawashindi home weekend, sababu hawajiwezi wanaogopa kutekeleza majukumu yao!vijana wa mkoani wameamua kuunda tume huru.ya kukusanya maoni jinsi ya kuwanasua vijana wenzetu.
Fuatilia Maisha yako kila mtu na starehe zake, Mavazi kila mtu na aina na nchi anayopenda kuvaa, kama unavaa bado yale matambala ya kushona kwa fundi cherehani pole sana Mkuu, Dunia imebadirika sana Fuatilia watoto na wazazi wako waishi vizuri
 
waishii vizurii kwa kuvaa pedo??no thank you bora nionekane mkoloni!kuliko kufuga mapunga nyumbani kwangu.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Hata kama tutampinga kwa upana wote wa midomo yote, mleta mada yupo sahihi na kasema ukweli. Kwani hili mitaani halionekani au linaonekana? Watu ni vipofu wasione ufedhuli huu wa vijana wetu? Hivi wanapotembea huwa hawatikisi nyama za makalio kama au zaidi ya dada zao? Hawavai hizo kamatia chini au wanavaa? Je, mnapopishana zile harufu kali za pafume huwa hazitoi harufu au ni harufu ya vikwapa? Hawa scrub nyuso, kuweka wigi na kutinda nyusi? Njoo hapa shekilango karibu na san siro uje uone maajabu ya kinachosemwa ili utafiti utimie,jamaa 30-38 yrs anafanyiwa haya yote na wadada kama watatu hivi wanamshughulikia. Usipinge tu kwa sababu unajua kupinga, huu nao kweli ni wivu? Dume halitakiwi kuwa na tabia hizi za make up, ili iweje?

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
Umezaliwa familia ya watu wachafu, Hata kuoga sidhani kama Unajua
 
Back
Top Bottom