Diatta yule kwa Tz ndo mwanaume wa mkoani sio wanaume wa dar sura uafikiri dada zao!!

Emok Jr

JF-Expert Member
Mar 17, 2018
1,094
795
Haya sasa jana mwanaume kutoka senegal aliyetuwakilisha vyema wanaume wa mkoani aka Diatta.

Wanaume wa dar tunatoa mazoezi ya kuwa na sura za kazi kama Diatta ni bure kabisa sio mnakuwa na sura kama dada zenu!!

Viva #Diatta.

Wanawake hebu jitongozeni kwa Diatta tupate mbegu yake hapa Tz kwa ajili ya maendeleo ya soka letu.

Picha yake nimeshindwa kiattach mwenye nayo aiweke hapa basi ili dada zetu wa tz wachangamkie fursa.
 
nasikia anaundugu na makonda
 
IMG-20190623-WA0010.jpeg
Screenshot_20190624-130529.jpeg
 
Au utaheshimu kipaji changu.
Mungu anamuinua mtu kutoka matopeni hadi juuu juu sana.

Huyu jamaa historia yake ni ya maisha mseto...

Embu fikiria,laiti angekua hayupo hapo alipo..kuna mdada angemuelewa???

Hata Diamond naye ilikua ivoivo, lkn look wapi Jamaa alipo sasa??

Hii inaitwa " Usiponiheshimu kwa muonekano wangu, Utaheshim Pesa zangu"
 
Haya sasa jana mwanaume kutoka senegal aliyetuwakilisha vyema wanaume wa mkoani aka Diatta.

Wanaume wa dar tunatoa mazoezi ya kuwa na sura za kazi kama Diatta ni bure kabisa sio mnakuwa na sura kama dada zenu!!

Viva #Diatta.

Wanawake hebu jitongozeni kwa Diatta tupate mbegu yake hapa Tz kwa ajili ya maendeleo ya soka letu.

Picha yake nimeshindwa kiattach mwenye nayo aiweke hapa basi ili dada zetu wa tz wachangamkie fursa.
 
Kwani Bashite mfoji vyeti na mtingisha makalio ni mwanaume wa Dar!? 😳😳😳

Back
Top Bottom