Mjusi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilienda siku moja eti wao matembo wakaniita mjusi, ikawa mwanzo na mwisho.
Vp mkuu kwani imekukera?Kweli kupost thread ni haki ya kila member lakini nadhani ni wakati sasa Mods waanze kuzuia vichaa na mataahira kupost ili kuzinusuru server zenu.