Wanaume wa Dar Vs Wanaume wa Mikoani

Wanaume wa Dar Vs Wanaume wa Mikoani

wanaume wa mikoani
wanabaka kuku
wanabaka vikongwe
wanabaka watoto
wanatoboa madirisha ili waibe
wanatoa harufu mbaya kwao kuoga wanakwambia kuoga kipaji
hawajui kupendeza ili mradi wamevaa tu
 
Hayahaya. Twende kazi.



Wanaume wa Dar:

1. Waoga
2. Wachoyo
3. Hawana nguvu
4. Hawana stamina / msuli
5. Walaji wa pweza , mahindi yenye ndimu na pilipili
6. Wanalelewa na wake zao
7. Wanateswa na wake zao
8. Wanaoga kila siku
9. Wavivu
10. Lainiii
11. Hula chips, maini, uji
12. Hawana msimamo



Wanaume wa Mikoani :

1. Wana miguvu, wakorofi, hawakubali kuonewa, hula vitu vigumuu, wana uvumilivu , stamina na wana uwezo wa kuzaa sana.
2. Hula ugali dona iliyosimamia kucha
3. Hawana woga
4. Wana msimamo mkali


Ongeza twende sawa

Eti nasikia wanaume wa Dar huwaogopa 'Panya Road'.....
 
Wanaume wa dar:
-mishen town
-wapiga mizinga
-dili hewa
-wasanii ukimpigia simu anaongea sauti ya chini anakwambiwa yupo kwenye kikao kumbe fix
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
1. Wanaume wa mikoani maisha yao hayawezi kwenda bila kuwataja wanaume wa Dar
2. Wanaume wa mikoani ni laini mioyoni mwao wakigongewa wanawake zao either wanajinyonga au wanawanyonga wake zao
 
Hayahaya. Twende kazi.



Wanaume wa Dar:

1. Waoga
2. Wachoyo
3. Hawana nguvu
4. Hawana stamina / msuli
5. Walaji wa pweza , mahindi yenye ndimu na pilipili
6. Wanalelewa na wake zao
7. Wanateswa na wake zao
8. Wanaoga kila siku
9. Wavivu
10. Lainiii
11. Hula chips, maini, uji
12. Hawana msimamo



Wanaume wa Mikoani :

1. Wana miguvu, wakorofi, hawakubali kuonewa, hula vitu vigumuu, wana uvumilivu , stamina na wana uwezo wa kuzaa sana.
2. Hula ugali dona iliyosimamia kucha
3. Hawana woga
4. Wana msimamo mkali


Ongeza twende sawa
Yaani unashindanisha kwa roho safi kanisa:
1 vs 25. Jibu liko wazi kabisa ndio maana 25 wameungana.
 
Kazi yenu kujiua kisa wivu wa mapenzi na kubaka watoto wenu mliowazaa
Hayahaya. Twende kazi.



Wanaume wa Dar:

1. Waoga
2. Wachoyo
3. Hawana nguvu
4. Hawana stamina / msuli
5. Walaji wa pweza , mahindi yenye ndimu na pilipili
6. Wanalelewa na wake zao
7. Wanateswa na wake zao
8. Wanaoga kila siku
9. Wavivu
10. Lainiii
11. Hula chips, maini, uji
12. Hawana msimamo



Wanaume wa Mikoani :

1. Wana miguvu, wakorofi, hawakubali kuonewa, hula vitu vigumuu, wana uvumilivu , stamina na wana uwezo wa kuzaa sana.
2. Hula ugali dona iliyosimamia kucha
3. Hawana woga
4. Wana msimamo mkali


Ongeza twende sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume WA dar wakimvalisha mchumba Pete wanalia Aiseee !!!!!! So stupid
 
Back
Top Bottom