Wanaume wa Dar njooni mjibu.

Wanaume wa Dar njooni mjibu.

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,485
Mnajua style hii ya kutongoza? Yaani kitu kinakuwa real, kinajulikana na jamii nzima, hadi wazazi wa pande zote
PhotoGrid_1538758824920.jpg
 
Asante kwa Hii kumbukumbu ya Picha Miaka ya 2000's ndo zilikuwa zangu hizi!
 
Wa mikoani huwa mnashida sana kwenye haya mambo.... Huku Dar hayo mambo ni ya kawaida sana, haina haja ya kutangaza tangaza kwamba kila mtu ajue.... sometime unakuta mtu hata ana wa kumi, unafikiri inakuaje aki tangaza ?

Haya twaachia huko mkoani...
 
Niliwahi kuandikwa kwenye Mkonge kuwa nakula demu wa Hakimu aisee sitasahau.

Nilikuwa darasa la 5 enzi hizo.
 
"Mwavita ni Malaya" I see
 
Nifanye mambo ya ajabu kama haya? Enzi tunazaliwa tayari facetime app ilikuepo tauari kwenye iPhone. Tunatongoza mubashara
 
Back
Top Bottom