Wanaume wa Dar ni mabilionea

hahha hii kama inapingana na hoja ya huyu jamaa hapa

Shy land
 
Last edited by a moderator:
Hizo hata ukija nazo 42nd St. ukitafuta kubadili hamna mtu anayezikubali.

Mkuu wewe ni wa miujiza tu mambo ya biashara na money exchange rate huyajui......wafanyabishara wakubwa wa bandari wapo hapa mjini na pesa zinabadilishwa kama njugu

Sema wewe sio mfuatiliaji wa pesa ndio maana hujui chochote
 
Utaniambia nini kuhusu wafanyabiashara wakubwa wa bandari wakati bandari mimi nimepigiwa saluti hapo tangu enzi za Mwinyi?

Nikitoka safari zangu Kilwa Road, kipande cha kutoka Bendera tatu mpaka NASACO kikiwa na foleni, nafunguliwa geti kwa saluti naingia chini bandarini nakatiza mpaka bandari ya kwenda Zenji huku.

Leo unataka kuniambia habari za wafanyabiashara wakubwa wa Dar na bandari mie?
 
mpira umepata mchezaji
 
Mkuu tafadhali zamani walikua wanaweka walinzi migambo na vijana wa ulinzi
Je hao tu ndio walikua wankupigia saluti au jeshi la tanzania
 
Mkuu tafadhali zamani walikua wanaweka walinzi migambo na vijana wa ulinzi
Je hao tu ndio walikua wankupigia saluti au jeshi la tanzania

Unajishaua kuongelea bandari wakati bandari huijui.
 
hahha hii kama inapingana na hoja ya huyu jamaa hapa

Shy land

masai dada siyo kwamba hii mada sikuiona nimeiona toka mwanzo, nikacheka tu, nikasema huyu jamaa atakuwa punguwani,

mabillionea anawao wazungumzia na jinsi alivyojieleza ni tofauti na maana sahihi ya mabililionea, ndio maana bwana Kiranga kamshika koo hata hafurukuti,

naukijaribu kukubaliana na hoja yake yakutaja watu wanaomiki magorofa dar eti ndio mabillionea hii mada inamfunga, magorofa mengi dar ni ya taasisi za serikali, makampuni, wahindi na watu wachache sana.

lakn ukifutilia na ukapinga kiwasitani ya watu wote wanaoishi dar utagundua, watu wanaoishi dar ni masikini wakutupwa, wanakula hadi utumbo wa kuku, wanalala nje, wanaishi kwenye mabonde, n.k

ukiangalia chakula wanachukula ni tafauti na mabillionea tunaowajua,

au wanataka kuniambia kushindia mikate lesi tatu, supu ya utumbo wa kuku na miguu ya kuu, billionea gani ayekula hivyo
 
Last edited by a moderator:
Natamani kuwa bilionea, nikishindwa niwe angalau milionea, sasa natakiwa niishi miezi au miaka mingapi Dar ili angalau niwe "laki_onea"?
 
Yards, magorofa, nyumba, maduka, hotels, gas station, wahindi kama hao kina rostam wapo kila mkoa na bank kuu si ya watu wa Dar ni bank ya Tanzania nzima ndio maana inaitwa BOT sio BOD. Sijui hoja yako ni ipi!!

Acha kutumia viporo vya ugali ni hatari kwa akili yako.
 
haahah aiseee
 
Last edited by a moderator:
haahah aiseee

Tena nakuongezea wanaishi kwenye mabonde vua ikinyesha kidongo tu, maji hadi kiuononi, masai dada eti kwa akili yako kabisa unakubali billionea yuko hivyo,

hizo sehemu wanazokaa kama ni kwetu ni sehemu za kulima mpunga.
 
Last edited by a moderator:

Ok let me act as an ignorance mkuu ulikua unapigiwa saluti kwa sifa zipi
 
Tena nakuongezea wanaishi kwenye mabonde vua ikinyesha kidongo tu, maji hadi kiuononi, masai dada eti kwa akili yako kabisa unakubali billionea yuko hivyo,

hizo sehemu wanazokaa kama ni kwetu ni sehemu za kulima mpunga.

shyland unajua mi nipo huku awa mabilionea wasoie niteka maana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…