Wanaume wa Dar ni mabilionea

yaani hakuna kitu kilichotushusha thamani wanaume wa Dar kama kitendo cha kuwakimbia panya road, ingawa siyo maeneo yote walifika, ila kule walikofika kitendo cha wanaume kuwakimbia panya road imekuwa nongwa, sasa tunaonekana waoga ila ipo siku panya ataingia tu choo cha paka, siku hiyo heshima lazima irudi na serikali wataingilia Kati.
 
kwa hiyo?
 
Jamani, wengine ndo kwanza tumeingia dar January. Vijembe vingine mtusamehe bana..
 
Ubilionea si hoja.

Unaweza kuwa bilionea wa senti ya senti ya the most worthless currency in the world.

Au wa mabua.

Ubilionea in which terms?
Ubilionea wa pesa na akili za kutafuta pesa
 
mabilionea wanakula miguu na utumbo wa kuku?
Kwa akili zako unachukua small spicies then unaenda kwenye conclusion

Wakati mwingine vyakula hivi una weza kukuta vimepikwa katika ubora wa hali ya juu
 
Ubilionea wa pesa na akili za kutafuta pesa

Hata ubilionea wa senti za senti za dola za Zimbabwe ni ubilionea wa pesa.

Ubilionea wa akili ndio ukoje huo? Unahesabu akili mpaka zinafika bilioni?

Unafahamu bilionea maana yake ni nini?
 
Mtuwachie wanaume wetu wa Dar kwetu wengine ndo fursa yetu............ni kweli mtoa mada ni mabillionea haswaa!!
Ni kweli mkuu watu wana make hela ..
Wa mkoa wananyanyua vyuma ili wapate ajira za ulinzi kwenye ma club
 
Hata ubilionea wa senti za senti za dola za Zimbabwe ni ubilionea wa pesa.

Ubilionea wa akili ndio ukoje huo? Unahesabu akili mpaka zinafika bilioni?

Unafahamu bilionea maana yake ni nini?
Mkuu acha kutapatapa

Nikuulize wewe benki kuu ipo wap??
Mgao wa escrow ulifanyikia mkoa gani
Mkuu dar kuna mabilionea mkuu
 
Naona wavulana wa Dar wanaanza kujifariji baada ya kuchezea kichapo cha vitoto wa Panya Road
 
Mabilionea wa nini? Ushuzi?
Ubilionea wa pesa mkuu

Take cream people like dewji ;mengi ;and other business man ndio utapata jawabu usikurupuke mkuu
 
Ubilionea wa pesa mkuu

Take cream people like dewji ;mengi ;and other business man ndio utapata jawabu usikurupuke mkuu

Matonya types na hao mishen town wanaopiga mizinga ya nauli na kukaa mabondeni madongokuinama kunakofurika ikinyesha mvua kidogo tu Msimbazi mbona huwataji?

Sio watu wa Dar nao?
 
Matonya types na hao mishen town wanaopiga mizinga ya nauli na kukaa mabondeni madongokuinama kunakofurika ikinyesha mvua kidogo tu Msimbazi mbona huwataji?

Sio watu wa Dar nao?
Ni watu wadar ila hapa nimefocus kitAIFA DAR INASIMAMA WAPI na watu wake kulinganisha na wa mikoani

Jibu linakuja wana hela kushinda wengine (general)
 
Ni watu wadar ila hapa nimefocus kitAIFA DAR INASIMAMA WAPI na watu wake kulinganisha na wa mikoani

Jibu linakuja wana hela kushinda wengine (general)

Hela za madafu kama alivyosema Kikwete?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…