Wanaume wa Dar ni akina nani?

Wanaume wa Dar ni akina nani?

Beauty Eva

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
131
Reaction score
374
Wapenzi wangu, habarini

Msemo huu unazidi kuwa maarufu siku baada ya siku. Mwanzoni sikuutilia maanani sana.
Juzi nilikuwa kijijini kwetu, kijijini kabisaa!! Nikamsikia kijana mmoja anamwambia mwenzake "... Mimi sio mwanaume wa Dar..."

Leo nikiwa katika daladala, yakatokea Majibizano kati ya Kondakta na abiria.
Pamoja na maneno mengi Kondakta aliyoongea, neno hili nililishika ipasavyo "... Mimi siwezi kujibizana na wanaume wa Dar.."

Swali langu, mwanaume wa Dar ni nani? Anatambulikaje?
 
wanaume
mzembe
mvivu
anapenda vya dezo dezo
much know hakuna kitu asichokijua

inavyosemekana lakini
 
Wapenzi wangu, habarini

Msemo huu unazidi kuwa maarufu siku baada ya siku. Mwanzoni sikuutilia maanani sana.

Juzi nilikuwa kijijini kwetu, kijijini kabisaa!! Nikamsikia kijana mmoja anamwambia mwenzake "... Mimi sio mwanaume wa Dar..."

Leo nikiwa katika daladala, yakatokea Majibizano kati ya Kondakta na abiria.

Pamoja na maneno mengi Kondakta aliyoongea, neno hili nililishika ipasavyo "... Mimi siwezi kujibizana na wanaume wa Dar.."

Swali langu, mwanaume wa Dar ni nani? Anatambulikaje?
Ni wapenda kitonga mpenz beauty eva
 
Nafikiri wivu ndo tatizo kubwa kutokana na maendeleo ya mji
 
Hawa hapa.
13592839_593568474146396_1594684422849705268_n.jpg
 
Back
Top Bottom