Wanaume wa Dar mnanisikia? Mbadilike Bwana

Wanaume wa Dar mnanisikia? Mbadilike Bwana

nikiwa field leo mjini daslam nimeshangazwa na kitendo cha hedi boi kutoa matangazo huku
akirembua hadi wanafunzi wakacheka nikashindwa kujua ni hali ya kawaida au ukizingatia ndo nmeanza leo tu

cc:Rhz4567
 
Wanaume wa Dar... wanapofanya mapenzi wanakuwa na viungo kama wanapika pilau... Mara KY, condom, mafuta ya massage, Congo dust, pembeni redbull au roobust, maji makubwa na Konyagi
Bado hawajala mihogo, karanga mbichi na nazi, supu ya pweza
Bado hawajatafuta chumba chenye AC

Mbadilike bhana
Kyakyakyaa kweli hiyo ni kachumbali ya dushe
 
Wanaume wa mkoa bwana....!

Siku hizi yani hamfanyi chochote zaidi ya kuwachunguza wa dar.
 
Nawaza kwa sauti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi kitu nachukia staili yao ya kuongea wanaume wa dar.asee huwa naudhika naona km mtu anabana pua vile!arusha na moshi mtu akiongea unajua huyu dume linaongea!fananisha sauti ya lord ize na mtoto wa kidar
 
Mi kitu nachukia staili yao ya kuongea wanaume wa dar.asee huwa naudhika naona km mtu anabana pua vile!arusha na moshi mtu akiongea unajua huyu dume linaongea!fananisha sauti ya lord ize na mtoto wa kidar
Hata huko chuga huwez kosa mwanaume anayebana pua. Kwan lord eyez ndio mwanaume peke yake chuga
 
Sijawahi muelewa buji buji..[emoji20] [emoji20]
 
Hayo majitu saiv yametapakaa kila mahali. Kuna siku nlkua morogoro nikaliona limoja linajibinua binua. Mpaka kichefuchefu
Dunia imekuwa gunia.hata marijali siku hizi wanajishauashaua km mabinti.wanapenda maisha bora bila kufanya kazi.mwisho hata akiombwa anatoa huku kaweka urijali pembeni
 
Back
Top Bottom