Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,910
Nyie msije mjini mtakufa kwa njaa maana ukubwa wa ugali huo mama ntilie anauza kwa watu karibia 100.Hio kitu vidume viwili tunaishusha kiualaaaaani!!! Kama mwanaume wa dar anavyoramba icecream!!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
East Zoo!!! Home cwt home
Mkuu umewahi kuwasikia panya road huku mikoani? Unafikir kwann hawako wapo dar tu?
Dar unakuta jitu lina miaka 35 lakn bado Linalala kwa baba na mama
Mi siwezi kuyala hayo hata kwa kiboko.
And my age it concerns here because......
wewe ni mzawa warombo au msoma,bila shaka...wanawake wadar,mapenzi kwao sio vita!Subiri tuimport wanaume kutoka Zaire.
Wanaume wa mikoani wanakula ilimradi tu.
kila kitu kinaendana na input... kazi ifanywayo baada ya hapo si ya kitoto jombaaKama yalivyo matumizi mabaya ya fedha na haya ni matumizi mabaya ya chakula, chakula cha familia 5 mnakulaje watu 3?
Ukimaliza unashushia togwa,mamb yanaenda saaaaafDah! aisee hiyo imenikumbusha mbali sana kule Tarime aisee na kichuri pembeni unashusha tu tonge nyama, tonge nyama.
wanaume wa Dar wengi wao wanaishi kwa mizinga na presha za maisha aisee Ugali kama huo ataupata wapi?
Namangana
mnavyotakaga wake zenu wawapikie kumbe Ndo mnapikiwaga hivyo??
π π kuna wanawake wajanja sana
Ukimaliza unashushia togwa,mamb yanaenda saaaaaf