Wanaume wa Dar Karibuni mlo!..

Hii ni breakfast tu kabla ya kwenda machungani. Nani amesema mlo mara moja?
sitakaa nisahau,
nilienda homw kwetu kijijini mida ya kwenda kuchunga kama saa nne hivi, dogo alishusha ugali mwekundu sahani zima na kombe la maziwa mgando na nyama pembeni, mdogo mdogo mpaka dogo akamaliza, dah kwa kweli nilishangaa sana, japo na mimi nilipitia huko...
*****
uanaume wa dar ni kazi sana!
 
Tupa kule. Kula siyo sifa. Sifa ya mwaume PESA ! IKIWEZEKANA DOLLA.PAUND.EURO.
Sio maugali.

Ninakubaliana na wewe kabisa mwanaume pesa ndiyo maana wanaume wa bara wakishauza madume 5 ya ng'ombe wanakuja kulipa kodi ya nyumba kwa mamiss wenu na nyinyi mnapata mteremko wa maisha.
 
Mi nilikua najfikiria mwanaume wa mikoani ukifika dar humaizi wiki hujaachanisha mtu
Yani utashangaa wasichana wanawahi kuwa rafiki yako aseee hafu mi nilikua sielewi.
Kumbe washachoshwa na wanaume wa dar
 
Ninakubaliana na wewe kabisa mwanaume pesa ndiyo maana wanaume wa bara wakishauza madume 5 ya ng'ombe wanakuja kulipa kodi ya nyumba kwa mamiss wenu na nyinyi mnapata mteremko wa maisha.
mwambie mkuu!
****
Dar ina changamoto sana kwa vijana wa kiume!
Siku hizi wazazi wanalinda sana watoto wa kiume kuliko wa kike!
kwanini?
Dar shida tupu..
 
Mkoani Raha sana, Kwa muda nilokaa Dar nshakua kama hawa majamaa.
Ntarudi Musoma nkare kichuri Bana.
Hata waziri mkulu Ka[emoji338] amesha tangaza kuhama Dar kuanzia September 2016
 
Hiyo mifutafuta hapo si maradh hayo.
hapo hamna mifuta boss!
Kuku asili yake ni hiyo, halafu cholestrol hakuna maana imechemshwa tu..
Vipi nguna hiyo nayo ina mafuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…