Wanaume wa Dar hovyo sana

Aisee - kumbe bora Sisi wanaume wa PEMBA. Kumbe wa Dar ndio wako hivi?
 
Mbeya iliyomdanganya Sugu wataanzisha vurugu asiende jela? Halafu wakamsusa
Miongoni mwa takataka za dar ni wanaume WA dar ! Kelele nyingiiiii home ugali wa hamira na dagaaa yani hata comments zao ni balaaa tupu
 
Miongoni mwa takataka za dar ni wanaume WA dar ! Kelele nyingiiiii home ugali wa hamira na dagaaa yani hata comments zao ni balaaa tupu
Saa tano hii unapata wapi muda wa kuchati na WiFi ya kijiji haiwashwi hadi wote mtoke shamba?
 
Saa tano hii unapata wapi muda wa kuchati na WiFi ya kijiji haiwashwi hadi wote mtoke shamba?
Jana gulio nipo wk end nakula faida tumesha vuna mm nalima maharage ya njano nina gunia sabini current value 14 mil nasubiri bei iwe juu!!? NilikuaMkazi wa dar kwetu maduka mawili changombe ila mm nimejenga CHANIKA pia ni mtumishi WA umma karibu mkoani utafurahi aiseee
 
Gulio jumamosi naona jembe linakusahaulisha jana ulikua wapi.

Umetoa wapi internet muda wa shamba wewe?

PS. Hii ni komedi naona umeanza kupaniki.
 
Gulio jumamosi naona jembe linakusahaulisha jana ulikua wapi.

Umetoa wapi internet muda wa shamba wewe?

PS. Hii ni komedi naona umeanza kupaniki.
Hahahahaa Aiseee cjapanik bana njoo Aiseee nipo mwanga net full njoo KILIMO Hakikutupi ukichanganya na salary inakua byeee jijilenu lilinishinda hahss
 

Aisee ni kweli me pia ile video ilinishangaza..kuanzia mpigwaji adi waangaliaji..ivi mwanaume wa kawaida unapigwaje kizembe..ningekua mm ningekufa na mtu mmoja..tofauti na hapo wanaume wapo pembeni wanachukua video mdada ndio anapambana..inaskitisha sana..
 
Unajua huko mikoani baada ya kulima mtu anabaki na muda mwingi wa mapumziko hivyo ni rahisi sana kununua hata ugomvi usiomhusu.
Ila kwenye miji mingi watu wanastrugle kutafuta hela anaona kuingia kwenye mambo yasiyomhusu itamgharimu muda na fedha vile vile hivyo anaamua kuacha. Ila sio kwamba hawezi kufanya lolote.

Kinacholindwa ni muda.
 
Kweli aisee sijui Kwann wanaume wa DSM wapo hivoo. Nimeangalia video ile sikupata picha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaa Aiseee cjapanik bana njoo Aiseee nipo mwanga net full njoo KILIMO Hakikutupi ukichanganya na salary inakua byeee jijilenu lilinishinda hahss
Itabidi nikutafute unipe mwanga juu ya maharage ya njano, nyumbani tumefululiza kulima mahindi na tumefululiza kupata hasara.

Soko ni hapa hapa Tanzania?
 
ile video ilinisikitisha sana ningekuwa ni mimi yule mgambo ujinga ambao ningemlipa dunia ingeshangaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…