Nimehisi umefurahi Kaka.Ila niliwahi ona raia wakiwapiga sn maafisa wa usalama wanne kule mbalizi na kisa walikuwa wanamkamata dereva wa Hiace ambaye alikata Kona kuingia pembeni bila indicator.Wale Jamaa walikuwa na gari yao kidogo wagonge Kwa nyuma, ndipo wakashuka na kuanza kumpiga na kumwingiza kwenye gari yao, weeeee watu waliingilia Kati ohoooo!Sasa braza tamu hoja iliyokua mezani mbona haikua ya kufurahia au kuchukia tukio? Rudia kusoma alichoandika mleta uzi.
Braza Tamu kuna kitu kinaitwa bystander effect mfano upo pale Kabwe ukigongwa na gari kila mtu ataona 'Ngoja nisiende mbona yule yupo karibu ataenda' aliye karibu anaona 'Siendi ataenda yule pale' ila akitoka mmoja anakimbilia tukio utashangaa wote wanaenda na wakifika wanafikia kushangaa.Nimehisi umefurahi Kaka.Ila niliwahi ona raia wakiwapiga sn maafisa wa usalama wanne kule mbalizi na kisa walikuwa wanamkamata dereva wa Hiace ambaye alikata Kona kuingia pembeni bila indicator.Wale Jamaa walikuwa na gari yao kidogo wagonge Kwa nyuma, ndipo wakashuka na kuanza kumpiga na kumwingiza kwenye gari yao, weeeee watu waliingilia Kati ohoooo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu,ila kibinadam hata iweje.huwezi kuona mtu anaonewa kabisa kama mbwa ukakaa kuangalia.Unajua kwa hali ya sasa ilivyo na ukiangalia aliewaagiza hao mgambo watu wanaogopa kujiingiza kwenye matatizo.
Maana hata kama mgambo anakosea lakini ukiingilia unaweza kuishia kula virungu ukavunjwa hata mguu na safari ikawa sio ya kwenda hospital kutibia mguu bali ni kuelekea korokoroni. Mpaka uje upate matibabu ushakuwa kilema.
Ndio maana kila mtu anaona ni bora afanye mambo yake tu. Kuingilia mambo ya watu wengine mda mwingine utajizulia matatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nimeelewa kwamba mazingira ya tukio huchangia.Haya haina shida.Au umeshakuwa wa dar Kaka?naona mbeya unaijua vzr sn na inaonesha umekaa sn.Mwakibete karibu na Teku ndo home kwetu,japo na mbalizi pia.Braza Tamu kuna kitu kinaitwa bystander effect mfano upo pale Kabwe ukigongwa na gari kila mtu ataona 'Ngoja nisiende mbona yule yupo karibu ataenda' aliye karibu anaona 'Siendi ataenda yule pale' ila akitoka mmoja anakimbilia tukio utashangaa wote wanaenda na wakifika wanafikia kushangaa.
Kwanini? Kwa sababu katika moment hiyo kila mtazamaji anahitaji directions. Ndiyo maana kwenye muvi unaona mtu anashout "Call 911" hiyo ni kwakua kila mtu anamtegea mwenzie.
Kwa kesi uliyoisema ni simple kwamba crowd ilihitaji spark ndogo tu ili moto uwake.
Wanazingua sana hawa madogoMshaona sifa kutafuta umaarufu mbaka uje na uzi wa wanaume wa Dar[emoji276]
Tungekua majirani kumbe kama bado ningekua hapoSawa nimeelewa kwamba mazingira ya tukio huchangia.Haya haina shida.Au umeshakuwa wa dar Kaka?naona mbeya unaijua vzr sn na inaonesha umekaa sn.Mwakibete karibu na Teku ndo home kwetu,japo na mbalizi pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah ni kweli,sema hata mie sipo.Tungepiga story jioni uwanja wa Ruanda nzovwe huku tunaangalia mazoezi ya Mpira.Tungekua majirani kumbe kama bado ningekua hapo
Aisee kwa mimi hapa naona ubeast utakataa kabisa. Naweza nikaambiwa simamisha umpige pvmbu huyu jamaa au tunakupiga risasi wakaishia kunipiga risasi.You need to be a beast ili usimamishe.
Hivi vitu vina taste ya mtu na mtu. Nilienda kulinda club moja nikakutana na staff wenzangu wanahadithiana juu ya shoga mmoja maarufu maeneo ya Mwananyamala alikua anaitwa Tata.Aisee kwa mimi hapa naona ubeast utakataa kabisa. Naweza nikaambiwa simamisha umpige pvmbu huyu jamaa au tunakupiga risasi wakaishia kunipiga risasi.
Hata mie, niko very uncomfortable na hawa watu. Siwaogopi ila kuna kitu nami chanifanya niwe uncomfortable nao.Hivi vitu vina taste ya mtu na mtu. Nilienda kulinda club moja nikakutana na staff wenzangu wanahadithiana juu ya shoga mmoja maarufu maeneo ya Mwananyamala alikua anaitwa Tata.
Nilikua nashangaa sana siku hizi stori nimezizoea ila bado sipo comfortable around gay. Na huo ubeast sitaufikia.
Mimi hua nashindwa kujua niact vipi so hua nakua awkward na ukimya mwingi. Natakiwa niinteract nao kwakua kazi yangu ndiyo inavyotakaHata mie, niko very uncomfortable na hawa watu. Siwaogopi ila kuna kitu nami chanifanya niwe uncomfortable nao.
Same here mkuu,yani hivi viumbe naviona cha tofauti sana.nikiwaona huwa najiuliza vitu vingi sana..ila kuna njemba anamuinamisha kabisa,MUNGU atusamehe aiseeHivi vitu vina taste ya mtu na mtu. Nilienda kulinda club moja nikakutana na staff wenzangu wanahadithiana juu ya shoga mmoja maarufu maeneo ya Mwananyamala alikua anaitwa Tata.
Nilikua nashangaa sana siku hizi stori nimezizoea ila bado sipo comfortable around gay. Na huo ubeast sitaufikia.