Wanaume wa DAR hii sasa too much

huyu si anajipiga dekio pia??

ana matatizo sana huyu binti.
 
Hapana huyu ni wa mkoani dizaini ya akina baraka de prince, wamekuja Dar juzi juzi tu hapa hata mitaa bado hawaijui vizuri [emoji16]
 
Hivi wanawake wa kutangaza hiyo biashara walikosekana mpaka atangaze yeye???
 
nimeona hiyo picha insta sijaelewa kulikuwa na haja gani wa kutumia mwanaume kwenye hilo tangazo.
 
ha ha haa!!! wanaume wa dasalamu msikwepe mnalo la kujibu hapa!!!
 
Dar wapo vizuri wamkoani tukifika dar tunashindwa kutofautisha jinsia zao[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kwa nini awe na miguu ya kike?
Nina wsws hii ni photoshop
 
Alafu kapigwa futa limekolea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…