Wanaume wa Dar es Salaam na Chips Mayai

Wanaume wa Dar es Salaam na Chips Mayai

Mwanaume wa dar akila nyama ya kuku wa kienyeji mwenye afya kutoka mkoani anan'gooka meno Kwanzaa hawamalizi sahani moja ya chipsi

Waache waendelee kula vitu vyao vilaini mwanaume anakula kiepe na juice ya ukwaju hawezi kula magimbi na ugali kama wa sisi mkoani

Eti tamthiliya yenu ya sultan iliishaga?
 
Dunia hii hakuna nyama tamu kama nguruwe nyie Aachen tu
 
mbona mihogo ya kukaanga haitajwi, ee, nazo zina fats, maandazi , vitumbua, chapati, kalimati havitajwi wakati ndio milo mahsusi sana kwa wa tz wengi mno na vyote ivyo vina mafuta ya kutosha/mengi and too bad ni vyakula vya 'wanga',
mmeikomalia 'chipsi' , kuikosoa 'chipsi' ni ulimbukeni,
kama unakosoa 'chipsi' kosoa chochote kile kilichopita katika mafuta, walaji wa mihogo ya kukaanga nao sexual drive zao zinakua affected ila hawasemwi na ndio wengi mno

Nitakosoa maandazi, vitumbua, kalimati na mihogo ya kukaanga kama mada itakuwa ya ;
maandazi, vitumbua, kalimati na mihogo ya kukaanga.

Sikosoi ;
maandazi, vitumbua, kalimati na mihogo ya kukaanga.

Kwa sababu mada inahusu "chips".

Siku ikiletwa mada ya ;
maandazi, vitumbua, kalimati na mihogo ya kukaanga.

Basi nitaongelea ;
maandazi, vitumbua, kalimati na mihogo ya kukaanga.

:- Stick to the topic
 
9
Hhahaa! Kumbe na wewe usingizi wako upo kwa wakulima wa magimbi 😀 😀 😀 !! Mikoani bhana, eti deal zenu wenyewe ni kilimo!! Myplusbee nimetulia tulii kwenye laptop na maisha yanaenda! Niki-feel uchovu, navuta Redbull, simple! Halafu hayo mambo mnakuja mjini na viroba vya mchele eti zawadi, hatutaki sisi; watu tunapiga Appolo Noodles, swaaaaafi!
😂😂😂mnataka nin viazi vya chipsi ee na mchele wa watoto
 
Nitakosoa maandazi, vitumbua, kalimati na mihogo ya kukaanga kama mada itakuwa ya ;
maandazi, vitumbua, kalimati na mihogo ya kukaanga.

Sikosoi ;
maandazi, vitumbua, kalimati na mihogo ya kukaanga.

Kwa sababu mada inahusu "chips".

Siku ikiletwa mada ya ;
maandazi, vitumbua, kalimati na mihogo ya kukaanga.

Basi nitaongelea ;
maandazi, vitumbua, kalimati na mihogo ya kukaanga.

:- Stick to the topic
haha huna facts
 
9

😂😂😂mnataka nin viazi vya chipsi ee na mchele wa watoto
Aisee, hapo kwenye viazi, umepatia! Kuhusu mchele wa watoto; labda wenye watoto ndo wanaweza kujibu hicho kipengele!
 
Back
Top Bottom