Wanaume wa Chit-Chat tafadhari msiwapige wake zenu.

marejesho ni ubavu wangu! Tena asije akakusikia!

ha ha ha ha by the time im done with you will say on ur own will im so so sorry for all i have said and done,and utashangaa ulikuwaje kipofu namna hyo hukuniona,
 
Uuuuuwi! My wife wangu marejesho njoo umwone huyu!!!!
 
wala hamna haja ya kumuita mi npo njiani nakuja huko nasikia arusha kukuona mwambie akae mbali wakati mi na wewe tunaongea maana shari ni hobby,ha ha ha,
 
Mhhhhhhhhh..... Filipo una masifa.....sasa ndio nini kumwitia mdada wa watu mkeo?

ndio maana nimekuja hapa maana nlikuwa natake simple 2 lkwamba marejesho is just a friend lakini sasa inabidi nichunge mzigo wangu,mimi ndio mwenyewe,
 
Last edited by a moderator:

"Hawa wawili hawatakuwa wawili tena, bali watakuwa mwili mmoja!" - Mchungaji
 
Last edited by a moderator:
ndio maana nimekuja hapa maana nlikuwa natake simple 2 lkwamba marejesho is just a friend lakini sasa inabidi nichunge mzigo wangu,mimi ndio mwenyewe,

Utapasuliwa!? Utafanywa "hamna!"
 
huyu ni ke?

Eti ! Ni she , duhh! Huyu binti ukinipa bure na mahari unilipe mie mme unipe na mtaji wa Fuso mbili za kuanzia maisha na binti yako!
N a m t e m a !
Kama kuozesha ni biashara , kwa huyu bint biashara yake lazima ikukamate .
 
Back
Top Bottom