WANAUME v/s masharobaro.....Maumbile yaingilia kati!!!!

Well , hiyo jamii ni jinga.
Kama sura nzuri ni zile zinazong'arishwa kwa poda na lipgloss basi wanalo.

May be may be,may be not!Jamii zote zina mtazamo huo including niliyopo na yako pia!Haya ni matatizo ya kiasili na ya kimalezi ya mwanadamu!
 
Mi jamani nawachukia wanaume masharobaro hasa wale wavaa hereni, wanyoa viduku na wanaovaa visuruali vichupa halafu wanavishusha chini ya...kama Diamond au THT
 
May be may be,may be not!Jamii zote zina mtazamo huo including niliyopo na yako pia!Haya ni matatizo ya kiasili na ya kimalezi ya mwanadamu!

Either way ni mtazamo wa kijinga kwa maoni yangu. . . ndio unaofanya vijana washinde mbele ya vioo kujiremba kutwa!!
 
Mie wangu kila zile tarehe zikifika lazima nijue/anijulishe, (nshamsoma kitambo), automatically zile tarehe huwaga anajileta mwenyewe, ila am not sure kama nina sura Mbaya....
 
Either way ni mtazamo wa kijinga kwa maoni yangu. . . ndio unaofanya vijana washinde mbele ya vioo kujiremba kutwa!!

Yes!Ni ujinga tena ujinga ambao haujavaa nguo!
 
Maana
yake ni hua wanaangalia mtu ambae ni fit, mwenye feature za kiume na
sio sura mbaya. Labda kama hao wanaodai hivyo wanaona sura za kiume ni
sura mbaya.
You said it all Lizzy.
 
May
be may be,may be not!Jamii zote zina mtazamo huo including niliyopo na
yako pia!Haya ni matatizo ya kiasili na ya kimalezi ya
mwanadamu!
Acha ku generalize wewe. Sio wanawake wote wanazimia masharobaro.
 
aisee heri umenitonya ngoja nitie zangu time kwa mugabe, nikajilie vya bure tena kipindi cha 'heat', mwee utamu wake hapo lazima ataniomba nimtukanie ma....yake hapo!
 
Haya ndyoko!Mugabe unamjua wewe?Shauri yako!
 
sura mbaya?

Loh au wanaume wa zimbabwe wabaya ndo mbna watafiti wamepata majibu hayo?
 
Picture1.jpg
kama huyu ?
 
BADILI TABIA,nafikiri hujasoma vyema,nimesema wale ambao jamii inadai wana sura "mbaya",inamaana hujui ni watu wa aina gani hao?
 
Back
Top Bottom