Wanaume uwezo umeshuka?

Chps mayai zimewamaliza vijana wa siku hizi,wanasema ugali unawaumiza matumbo.Hayo ndio matokeo yake.
 
Chps mayai zimewamaliza vijana wa siku hizi,wanasema ugali unawaumiza matumbo.Hayo ndio matokeo yake.

Kabisa mkuu na hawapendi hata kufanya mazoezi wala kula vyakula vya asili wao na chips mayai na burger na kuku wa kisasa
Vyakula vya supermarket
 
Tatizo wanawake wengi wamebaki wanawake sketi,hawajui nini mme ale na asile wanashinda wanazurura,kupika hawataki alafu anarudi na vichips eti ndo chakula cha usiku cha mmewe na bado anakutegemea usiku upige kazi,bnafsi nikila chips achilia mbali jogoo kuwika hata kusimama huwa hasimami,hata ukinipa k.m. Kamwe siigusi

Mwanamke andaa mihogo,viazi vitamu,viazi ulaya,magimbi,supu ya sato wabichi,dona,n.k alafu uone shuguri yake,tena mie nasema wanawake washukuru hii hali kuwepo make kama wanaume wangekuwa wote wako gado acha wale wenye vitambi,******,maziwa,n.k basi enzi hizi wanaume tungeoa hata bila kutoa posa..

ONYO: Wanaume ni lazima tubadilike,wake zetu wa leo ni wa plastic hawajuhi tena kukea,wao wanajua bata tu,sasa ni lazima tujitafutie vyakula vyetu vya asili,mkiendelea kula chips,wali na upupu mwingine wa supermarket itakula kwenu.
 

Apike saa ngapi mkuu wakati yuko kazini twenty four seven na kucha na nywele zake zitaharibika
tatizo na wao hawalioni hilo tatizo wanaishia kutulaumu kuwa tumekuwa so weak siku hizi na hawajui kuwa hilo tatizo wanalisababisha wao
 
mimi wa kwangu nitampa mavyakula ambayo kwa mwezi ni mara moja inashtuka nani anataka kujitesa wewe? kazi zenyewe zashida siku nzima, mafoleni, then ukapukutishwe usiku kucha mwee, utapumzika saa ngapi jamani unataka tuzeeke mapema nd ivo mnanyimwa kijanja mafuta kushnei
 

Mzee ukianza kutafuta side effect hata sufuria au kijiko unacho lia chakula kila effect.
Lakini mara moja kwa mwaka sio mbaya na yeye akakande nyuchi wiki nzima
 

Then akitoka nje usije kulalamika kuwa unaonewa
 

Ndo hivyo mkuu mademu wazuri mjini ndo maana wanaishia kuchukuliwa na wenye vitambi
 
atoke nguvu anayo? labda kwa valuu zenu na wachina

Kwa hiyo wewe unatafuta kummaliza nguvu ili awe joka la kibisa eehhh huko nyumbani uwe unamuendesha kama remote kule unakotaka wewe si ndio manake
 
Mzee ukianza kutafuta side effect hata sufuria au kijiko unacho lia chakula kila effect.
Lakini mara moja kwa mwaka sio mbaya na yeye akakande nyuchi wiki nzima

Ha ha haaaaa, .... ile kitu roho inapenda
 

Nimebaki nakushangaa kama wewe mwenyewe hujui ule nini mie ndo ntajua
piili itategemea na pesa utakayoa acha
tatu mnataka na sie tulipe pesa za kodi sawa na nyie pamoja na ada ya watoto
saa ngapi tutakaachini tupike
aku mie nipishe
 
Kwa hiyo wewe unatafuta kummaliza nguvu ili awe joka la kibisa eehhh huko nyumbani uwe unamuendesha kama remote kule unakotaka wewe si ndio manake
kwani akili zake si anabaki nazo jamani.?
 
wanaume mnashangaza sana hv unafikiriaje eti nitamridhishaje mtu wakati hata huna experience naye.ina maana ujajijua una tatizo na sio wanawake wana tatizo.msitusingizie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…