Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Habari wakuu,


Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni kuwa wagomvi.

Hata katika mahusiano wanaume wanavumilia vingi, wengine huwaacha wasichana hao.

Wanaume wengine hukutana na msichana mwenye ugomvi na bila kujua anamuoa.

Sasa hapo ndio moto unawaka kwenye ndoa ndio wanaume wananyooka mwanamke kitu kidogo tu kashalianzisha kwa mumewe.

Kwanini wanawake wanakuwa wagomvi?

Wanaume mliowahi kuwa na na wasichana/wanawake wagomvi tujuzeni hapa.

NB; Sio wanawake wote wagomvi.

Ni kweli kuna wanawake wagomvi, ila tabia hiyo inaweza kuwezekana ikiwa mwanaume ni dhaifu na ameonesha udhaifu toka mwazo. Mwaka fulani nilishuhudia bwana mmoja wa makamo akicharazwa fimbo na mke mdogo huku mke mkubwa akishuhudia. Chanzo ilikuwa mke mdogo alienda matembezi bila muwewe kujua, hivyo mke huyo mdogo alipo rudi mumewe alihoji kwanini ameaondoka bila kuaga, hapo mabishano yalianza kati ya mume na mke mdogo huyo ambapo muwe alishindwa kuvumilia matusi na dharau zilizokuwa zikitolewa hivyo kuamua kushika fimbo ili kumwadhibu bi mdogo huyo ambaye alikuwa na nyodo za kufa mtu. Hata hivyo kutokana na ushari uliokuwepo kwa mke mdogo alimnyang'anya fimbo mumewe na kuanza kumchapa ambapo muwe alikimbia na kusimama mbali kidogo huku mke akitoa maneno ya dharau ''Unataka kunichapa unijeruhi ili nikose mabwana wa kunihonga?'' kimsingi kutokana na desturi ya kabila letu tulitamani kumuomba yule ndugu aturuhusu ili tumsaidie kumfundisha adabu huyo bi mdogo hata jivyo ndugu huyo alikuwa dhaifu wa kupilitiza. Kwa kiasi kikubwa mke mgomvi anaweza kuwa na tabia hiyo kama akigundua udhaifu wa muwemwe. vinginevyo itabidi afikirie mara mbilimbili.
 
Hivi visanga hivi🤣


Mie niliwahi kupata mwanamke mswahili tena mswahili haswa, mdomoni maneno kama chiriku, hajui kuongea taratibu ana wivu kinyama! Kanikuta muhuni sina maneno mengi kinywani, mtu akinikera natafuta njia naondoka zangu!

Tulikutana club tu, japo tulikuwa tunafahamiana hapo kabla, alikuwa ni mlupo tu, alielewa show, nikawa natwanga kisela mwishowe akaomba tuishi pamoja.

Katika wanawake nilikosea basi ni huyu!

Visanga vyake vilikuwa vingi naweza kuandika hata kakitabu, tuliishi kama mwaka mmoja hivi na kidogo. Kawaida yangu nikikosea mwepesi wa kuomba radhi! Nahisi aliona kama kaniweza, kwa mapenzi nilitokuwa namuonesha! Nahisi hakuzoea maisha ya mapenzi namna ile!

Kuna siku alinizingua nikamwambi tuachane, nikataka kusepa akawahi kisu akaganda mlangoni, moyoni nikasema nimletee za kuleta, lakini nikaona aheri niepushe shari nikavunga! Nikamuomba yaishe nimeghairi simuachi tena! Tulidumu vile kama nusu saa hivi akalainika, akatupa kisu nikala mzigo kumlainisha zaidi!
Tumeishi ananifanyia visa, kupayuka ndio kawaida yake!

Mkikerana basi hapapikwi hapo, ni balaa balaa tu! Nilishawahi kumpanga mara nyingi tu, unaona kwenu wanakuogopa sijui unawatwanga sijui nini sio kwangu! Katika maisha yangu sijawahi kumpiga mwanamke kofi wala kumtukana, ila tunapoelekea wewe utakuja kuwa wa kwanza! Akaona namtania.

Wivu wake sio wa dunia hii halafu akili kisoda!, kuna siku alikuta nawasiliana na mshikaji wangu wa humu jf, akachukua namba yake akapiga simu kamtukana kishenzi, almanusura avunje ndoa ya watu, kiukweli yule bibie mie hakuwa mpenzi wangu na wala sikuwahi kufikiria kuwa katika mahusiano nae.

Katika maisha yangu yoote na yule mwali sikuwahi kumsaliti hapo kabla, ni siku moja tu alizingua usiku asubuhi kaamka kanuna, wakati yeye ndio kanikosea hapo, namuuliza leo tunakula nini humu ndani ooh!! “Sijisikii kupika” moyoni aahh! , kifungua kinywa vipi "sipiki, vifaa hivyo hapo andaa mwenyewe” nikavaa na kusepa natoka nje anabwatuka rudi unipe hela mie nakula nini, nikatabasamu mguu mosi mguu pili mpaka mtaa wa pili kwa demu mmoja sikutaka mambo mengi nikamwabia kuna shilingi kadhaa hapa nataka uunyonye mpaka nikojoe , binti akakubali akafanya hivyo

Sasa kuna siku aliyabananga nikasema huyu leo kaingia mtumbwi wa kibwengo, ngoja nimuoneshe mie ni nani! Kabla ya hapo nishajaribu kuepusha shari nikata kuondoka akafunga milango! Nikaona huyu leo ataomba poo, kwanza nilishamchoka kwa visa vyake, nikapandisha mori, nikipandisha nae anapanda!

Basi alijichanganya nikatisha akajaa nikampa bao zito! Nikapiga kombinesheni ya mabao! Akaficha uso nikapiga uppercut ya kofi! Akaangukia kitandani! Ikawa kama nimempandisha mori, akaokota chupa ya soda, akaja wangu wangu! Akaleta chupa nikapiga ngumi ya kiume katika mkono ule ule alioshika chupa, mori ukanipanda nikasahau kama napiga mwanamke, nikacross gumi moja zito, mbavuni ikamjaa kisawa sawa, akaa vizuri nikamtwisha bonge la bichwaaaaa!! Chali kuinuka hawezi,

nikafungua mlango nasepa nasikia mtu analalamika kwa sauti ya maumivu ya kweli! Anakufa, nikatoka mpaka nje kufikiria mara 2 sauti ile na kipigo nilichompa nikarudi ndani namkuta mtu kajikunyata kakamata mbavu zake! Analalamika anakufa, fasta nikaenda kuchukua usafiri, nikampeleka hospital akilini naona huyu sijui kama atafika hospital! Akaanza kukoroma, midomo ishakuwa mieupeeee!!

Nikafika hospital, akapigwa drip mbili fasta akapigwa na sindano moja ndio kwa mbaali mtu anakaa sawa! Hapo nishapanga kukimbia mji! Anaamka ananiambia ndugu zake wakija asiseme kama nimempiga itakuwa kesi kubwa! Lakini uso ulikuwa unaonesha kama nimempiga! Alipopona kwao wakaweka kikao haiwezekani nimpige binti yao hali hata sijamuoa, wakaamua aondoke kwangu! Nikashukuru, alhamdulillah! Akahama

Lakini mpaka sasa kashindwa kuniacha! Akibanwa ananitafuta na mie huwa naibutua kisawa sawa!
🤔
 
kuna mijike dume ina nguvu kama nini.
Kuna dada mmoja mwenye asili ya Iringa, lakini ni mkazi wa kanda ya kaskazini, siku moja alisafiri toka Iringa kuja anakoishi.
Akiwa njiani kuna mbabu alipanda gari kuja Kondoa, konda ili overcharge, yule babu alilalamika lakini konda alimpuuza.
Mama huyu mbabe alifuatilia hatua kwa hatua kilichoendelea, ulifika wakati alishindwa kuvumilia akaamua kumuita konda, alipofika kwenye siti alimuuliza..."umachaji babu sh ngapi"
Konda alijibu kwa kiburi "haikuhusu" akauliza x3 jibu likabaki halikuhusu.
Huyo mama/dada alimwita dereva na kumwamuru asimame, dereva alitii, kilichofuata mama alimshika konda na kumvuta nje, walipofika nje yule mama alivunja tawi la mti kwa mkono mmoja na mwingine kamkwida konda, kilichofuata Konda alipigwa fimbo za kufa mtu na watu walipotoka nje ya bus walimkuta kondakta analia kama mtoto ndipo wakamwomba mama huyo amsamehe...akatoa masharti arudishe pesa aliyo overcharge.
kuna mi mama ina nguvu hatari
A

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah konda alirud kweny gari kweli
 
Back
Top Bottom