naomba kuuliza kutahiriwa ni usafi,mila au dini? manake huku umangani wanaume wengi hawajatahiriwa kabisa wanasema hilo ni suala la dini au uamuzi wa mtu.Mfano mzuri kuna kipindi cha TV hapa UK kinaitwa SEX EDUCATION IN SCHOOL versus PONOGRAPHY huwa kinaonyesha live wanaume au wasichana wakiwa uchi huku wanafunzi wakiwastudy maumbile yao kama sehemu ya kujielewa,tangu nimeanza kukiangalia sijaona waliotahiriwa kati ya wanaonyeshwa.kwa walio Norway kinaonyeshwa kupitia VIASAT CHAN 3 kila alhamisi 22:30 usiku au wanaotumia canal digital.kwa wanaotumia DSTV sijui kinapatikana chan gani sasa kama hawa wenzetu wazungu tunaodhani wamestaarabika zaidi hawatahiriwi sisi tunatahiri ili iweje kwani wao hawana ukimwi?sidhani kama kweli kutahiri kutapunguza maambukizi ya ukimwi kama hatutabadili tabia za ngono zembe.