1..wazuri wenye akili na heshima ndo mpango mzima
Hahahahaaaaaaaa! Naunga mkono hojaaaa! Japo kwenye kujuana 1st time sura ndo mpango mzima! We mdada ukiitwa kule si lazima ucheki na kina nani? Ukiona sura zao zinasoma ndo unaibuka!!!!! Ukiona michosho ndo huendi hata kwa sumaku!
mmh acheni kubaniana nyie
hahahahah Kiranga kweni ww uko kwenye no.1???? ila bado wapo wengi tu kitaa
He is my young brother, nilikuwa namtoa makamasi kila akitaka kuyalamba sasa kwavile kanizidu urefu basi ndo hivyo tena! LOL
hahaha young braza jiamini bana , kiss is allowed to big sister popote pale, condition za nini tena
Nadhani sisi watawa hapa hatutakiwi kutia neno.ni kweli usemayo mama mchungaji ila utajifil aje kuongozana na sm1 anayefanana na idd amini?? to me haisound aseee, mvuto muhimu bana pamoja na huo uzuri wa ndani....
Hahahahaaaaaaaaaaa! usharobaro una watu wake wanaoupenda atiiii!
I wouldn't know.
Ila kuna mdada mmoja alikuwa anajishaua akaniambia "Umefanana na Denzel Washington sana kaka"
Nikamwambia "Excuse me, naona Denzel Washington ndiye aliyefanana na mie". While dusting off my shoulders.
Jiving.
Wewe unagombania wa aina gani?
mama mchungaji bana mbona wabadili mada?? today its about men wenye mvuto Vs mvutoless ni wepi wanalipa kuwa nao....
hahahah umetishaaa...ww mhaya nn Kiranga??
like you lol
Hapo umenena mtawa mwenzangu, Lakini hayo ya mahandsome yatanitia majaribuni bure kama kile kibabu cha "umalkia wa duniani".we wahi kanisani kusali rozari ya huruma..si ndo mida yake hii mtawa mwenzangu???
I am all men rolled into one like the perfect joint at the 99 summer jam.
Nishawahi kumsikia secretary wa ofisi moja niliyokuwa nafanya kazi akiniambia "kumbe wewe si mhaya, siku zote nafikiri mhaya".
Kwani wahaya peke yao ndo wana monopoly ya swagger?