Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,255
Hivi kweli mtoto kama huyu unataka awe wako peke yako? You can't be serious kama hutaki kufa kwa pressure!
Bro umeelewa concept iliyopo hapo?Mkuu kwa hiyo mkeo ni chawote?!...kwa kusema hivyo ndio unakuwa mwanaume serious?
Aisee huyu mbona kama my N.....?Hivi kweli mtoto kama huyu unataka awe wako peke yako? You can't be serious kama hutaki kufa kwa pressure!
View attachment 462060
Bora ukute ya baridi inavumilika, ukute mtera inasingiziwa...Sasa na huo uzuri unakuta k ya baridi tu
Sukari umeadimika sanaBro umeelewa concept iliyopo hapo?
Wanawake wazuri kama hao hawapaswi kuolewa....utawabania wenzio tu na utakuja kufa kwa pressure....
Aaah bro nipo sasa ntakuwa mwendo mchibuyu.Sukari umeadimika sana
Hongera, au unagombea jimbo la Dimani nini!!!Aaah bro nipo sasa ntakuwa mwendo mchibuyu.
Nimepata mke mpya ananinyoosha sana.
Dimani ndio wapi?Hongera, au unagombea jimbo la Dimani nini!!!
Teh. Kwani Sugar yupo huku zenji?Hongera, au unagombea jimbo la Dimani nini!!!
Kumbe nyie wazanzibari?Teh. Kwani Sugar yupo huku zenji?