Wanaume tuwe na huruma

Wanaume tuwe na huruma

Upuuzi wa fb unachafua hali ya hewa na mandhari ya JF
 
Mse........kweli we jamaa usirudie kuleta mambo ya kipumbavu kama hayo kwa watu wanaojielewa.
 
Ajitathmni sana maana akimuacha na akaoa mwingne atambue kabisa watoto wake atakaozaa dhambi hyo itakuwa juu yao...
Na tena hatokufa mpaka ashuhudie kizazi chake kikipitia ufirwaji kama alioufanya Kwa mtoto Wa mwenzake.. Karma
Hakuna kitu Kama hiki.

Kizazi cha Idd Amin kina shida gan? Cha Hitler??
 
Amuoe tu ,anataka kumuachia nani huyo mwanamke wake? Km hatak tn kupga huo mtandao awatafute wataalam wa afya wawashaur wt,waanze upya.
Lasvyo ht akioa mwanamke mwngn atamiss tu na atamuomba mkewe mpua hyo huduma.
 
Dah kuna watu wa aina yake.
"kwamba anamuonea kimya" yaan nimetukana matusi yote nilivyokuwa nasoma.
 
Aisee hiyo laana itakutafuna maisha yako yote. Jinsi pekee ni kumrudia Mungu uokoke akuponye. Shatani amekutumia vibaya na hata ukioa mwingine bado mambo yamekwishakukuharibikia. Pole sana.
 
Sisadiki hii stori ila mambo kama hayo yapo na yanatokea,
Kama kweli alikuwa anatafuta sababu za kumuacha pale alipoomba tigo akakataliwa kisha baadae mwanamke akarudi kukubali kutoa tigo kwa mwenye nia kweli ya kuacha hii ndio angeifanya kama sababu ya yeye kumuacha kiroho safi,
Kwa pointi hii kumwambia huyo mwanamke"Nilikuwa na kupima kama kweli una msimamo ila kwa kukubali kwako kunipa tigo hapo umefeli na tunaachana maana hauna msimamo thabiti"
Ila sema huyu alifanya hili tendo hakuwa na nia thabit ya kumuacha alivyokubaliwa kupewa tigo na Ushetani ukamuingia kweli.
#Chunga shetani hajaribiwi#
 
Tangu nikiwa chuoni nilikua na mpenzi wangu ambaye kwa sasa naweza kusema kuwa tumekaa pamoja kwa miaka tisa tangu mwaka wa kwanza chuoni. Baada ya kumaliza chuo tuliendelea na mahusiano, lakini mimi sikuchukulia siriasi mpaka mwaka 2014 alipoanza kuniambia habari za kujitambulisha kwao, wakati huo nilikua na msichana mwingine nayeye pia sikua naye siriasi kwani ndiyo nilikua nimepata kazi nikamuambia anipe muda. Mwaka 2016 nilianza kumpenda huyu msichana mpya ila na yule wa zamani nikawa naona shida kumuacha.
Ukweli nikuwa alikua hajanikosea kitu chochote lakini nilikua simpendi tu kwani mapenzi ya mwanzo yalikua ya kichuochuo kama unavyojua mnadanganyana mambo mengi ambayo kiuhalisia wa kimaisha si kweli. Niliwaza namna ya kumuacha nikakosa, rafiki yangu alinipa ushauri wa kijinga lakini niliona utasaidi. Aliniambia nimuombe mpenzi wangu mapenzi kinyume na maumbile na kama ni mtu anayejiheshimu basi atakataa na mimi nimuambie nishaathirika na hiyo tabia siwezi kuacha nilazima kuoa mwanamke wa namna hiyo.
Kweli nilimuambia na kweli alikataa katakata kwani ni mtu wa dini sana, nilishukuru na kumuambia kuwa mimi siwezi kuoa mwanamke ambaye siwezi fanya naye hivyo. Lakini baada ya kama mwezi alipoona nimemchunia siriasi alikuja na kuniambia kakubali. Nilishapanga kumuacha lakini alinisisittiza yupo tayari nikaamua nijaribu kwani nilikua sijawahi kufanya, kweli tulifanya na ikawa kama mchezo wetu na nikazoea ikawa kila mmoja anapenda. Tuna miaka kama mitatu sasa na niliachana na yule dada mwingine alifumania meseji za huyu akaniacha.
Tatizo linakuja kuwa sasa hivi umri wa kuoa umefika, najiona nipo tayari na nina msichana mwingine ambaye tuna mwaka sasa. Nataka kuacha hii kitu kwani najua ni dhambi, siwezi kumuoa huyu mwanamke kwani kweli ashaharibika na kama nikitaka kumuoa inamaana mimi mwenyewe sitaacha na kweli namuonea kinyaa. Lakini tatizo nawaza namuachaje bila kumuumiza. Nimemfanyia kila kituko ili aniache lakini hataki, naomba unisaidie hata uongee naye ili aniache yeye ili asiumie, nitanunua hata vitabu kumi tu rafiki yake hata amshawishi aongee na wewe kwani nishamfanyia vituko sana ili umuambie tu aniache nioe kwa amani, naomba msaada wako, siwezi kumuoa kwa kweli, itakua aibu hata kwa wanangu
me nna huruma na wanawake hata sijuagi kwa nini uzuri nina bahati ya kupendwa wasichana niliowahi kuwa nao wengi walinipenda wao lakini kama mtu simtaki huwa namuambia tu

Siwezi kufanya ujinga kama huu kumbuka yule nae binadamu tusiish kama wanyama jamani
 
siwezi kumuoa huyu mwanamke kwani kweli ashaharibika na kama nikitaka kumuoa inamaana mimi mwenyewe sitaacha na kweli namuonea kinyaa.


Unasikitisha sana... na huna aibu wala haya kusema... na ameshaharibika...

Nani mwingine alIyemuharibu kama siyo wewe...



Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom