Wanaume tuwe na huruma

Wanaume tuwe na huruma

Mbona wadau wanamuandama huyo baharia?

Jamaa si kaandika kabisa alimuonesha binti dalili za kumuacha hadi akatunga uongo ya kwamba ana tabia za kufukua mitaro, lakini binti kaziba masikio pamba akajifanya naye anayataka...

Mambo mengine mabinti huwa wanajitakia wenyewe kwa sababu ya ukiherehere tu...

Mwana kutaka, mwana kupewa
 
Nimemtukana tusi kubwaaa Sana , nahisi litamfikia huko huko fb
 
Wakulaumiwa si mwanaume pekee hata mwanamke kwanini akubali mapenzi kinyume na maumbile kisa ndoa?
Wanawake ndoa zisitufanye watumwa na kutuondolea thamani yetu. Ona sasa anaachwa kwa upuuzi. Bora uwe single kuliko jikubali huo ushetani.
 
Mbona wadau wanamuandama huyo baharia?

Jamaa si kaandika kabisa alimuonesha binti dalili za kumuacha hadi akatunga uongo ya kwamba ana tabia za kufukua mitaro, lakini binti kaziba masikio pamba akajifanya naye anayataka...

Mambo mengine mabinti huwa wanajitakia wenyewe kwa sababu ya ukiherehere tu...

Mwana kutaka, mwana kupewa
Kabisa
 
Tangu nikiwa chuoni nilikua na mpenzi wangu ambaye kwa sasa naweza kusema kuwa tumekaa pamoja kwa miaka tisa tangu mwaka wa kwanza chuoni. Baada ya kumaliza chuo tuliendelea na mahusiano, lakini mimi sikuchukulia siriasi mpaka mwaka 2014 alipoanza kuniambia habari za kujitambulisha kwao, wakati huo nilikua na msichana mwingine nayeye pia sikua naye siriasi kwani ndiyo nilikua nimepata kazi nikamuambia anipe muda. Mwaka 2016 nilianza kumpenda huyu msichana mpya ila na yule wa zamani nikawa naona shida kumuacha.

Ukweli nikuwa alikua hajanikosea kitu chochote lakini nilikua simpendi tu kwani mapenzi ya mwanzo yalikua ya kichuochuo kama unavyojua mnadanganyana mambo mengi ambayo kiuhalisia wa kimaisha si kweli. Niliwaza namna ya kumuacha nikakosa, rafiki yangu alinipa ushauri wa kijinga lakini niliona utasaidi. Aliniambia nimuombe mpenzi wangu mapenzi kinyume na maumbile na kama ni mtu anayejiheshimu basi atakataa na mimi nimuambie nishaathirika na hiyo tabia siwezi kuacha nilazima kuoa mwanamke wa namna hiyo.

Kweli nilimuambia na kweli alikataa katakata kwani ni mtu wa dini sana, nilishukuru na kumuambia kuwa mimi siwezi kuoa mwanamke ambaye siwezi fanya naye hivyo. Lakini baada ya kama mwezi alipoona nimemchunia siriasi alikuja na kuniambia kakubali. Nilishapanga kumuacha lakini alinisisittiza yupo tayari nikaamua nijaribu kwani nilikua sijawahi kufanya, kweli tulifanya na ikawa kama mchezo wetu na nikazoea ikawa kila mmoja anapenda. Tuna miaka kama mitatu sasa na niliachana na yule dada mwingine alifumania meseji za huyu akaniacha.

Tatizo linakuja kuwa sasa hivi umri wa kuoa umefika, najiona nipo tayari na nina msichana mwingine ambaye tuna mwaka sasa. Nataka kuacha hii kitu kwani najua ni dhambi, siwezi kumuoa huyu mwanamke kwani kweli ashaharibika na kama nikitaka kumuoa inamaana mimi mwenyewe sitaacha na kweli namuonea kinyaa. Lakini tatizo nawaza namuachaje bila kumuumiza. Nimemfanyia kila kituko ili aniache lakini hataki, naomba unisaidie hata uongee naye ili aniache yeye ili asiumie, nitanunua hata vitabu kumi tu rafiki yake hata amshawishi aongee na wewe kwani nishamfanyia vituko sana ili umuambie tu aniache nioe kwa amani, naomba msaada wako, siwezi kumuoa kwa kweli, itakua aibu hata kwa wanangu
Dhamb lazima ikule
 
Aaah sasa nani atakae muoa huyo ukimuacha...
 
huyo dada na yeye hakuwa na akili hivi mtu unakubali mtu akufanyie kitendo cha kipumbavu namna hiyo??
Mapenzi mkuu...

Akili ikiongozwa na moyo na sometimes huleta maamuzi ya ajabu sana. Kama vile sisi tunapofikiri kwa kutumia kichwa cha chini ambacho hakina ubongo matokeo yake huwa tunaleta madhara kwenye jamii.
 
UMEITOA FB? NAOMBA USER NAME ANAYO TUMIA FB NIMSHUGULIKIE
 
Hhahaha
Alikataa kwa sababu ni mtu wa dini sana. Hivi ni dini gani hiyo ambayo haramu ni ngono kinyume na maumbile tu lakini uzinzi inaruhusu? Nataka nikajiunge na mimi niwe nabanjuka kwa raha zangu
 
Kweli mkuu, hata Mimi nimeisoma huku nimejawa hasira sana ya kumporomoshea matusi ila nikakumbuka ni uongo wanaodanganyana wavulana wa FB
Nilitaka kukupa bonge la tusi ila umeokolewa na neno "Kutoka FB"

Ungejidai tu kuwa mhusika mkuu uone cheche zetu.
 
dhambi kutafuna kilailiyo ncha na haisazi chochote
 
Kama mwanamke na akili zake kabisa aliamua bila kushurutishwa wala kubakwa, sioni huruma yoyote kwake. Alifanya maamuzi akiwa na akili timamu, huwezi kusema huyo kijana alimrubuni coz hakumpa kilevi chochote.

Ignorance na utandawazi vinatuumiza sana.
 
Imenisikitisha sana hata kama umeitoa fb huyo bint alifikir akitoa tigo ndio hataachwa
na huyo mwanaume amenikera kuliko kawaida yani kamfanya mwenzake vibaya tena yeye kwa hila zake leo anataka amkimbieee? hiyo dhambi itakuwa juu yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom