Louis II
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 3,030
- 4,650
correction: ni Ignorance mkuu. The man is ignorant damn!!Nchii hii illiteracy rate ball IPO juu sana
correction: ni Ignorance mkuu. The man is ignorant damn!!Nchii hii illiteracy rate ball IPO juu sana
Nitafute leo jioni mkuu nikuunge na hiyo dini.Alikataa kwa sababu ni mtu wa dini sana. Hivi ni dini gani hiyo ambayo haramu ni ngono kinyume na maumbile tu lakini uzinzi inaruhusu? Nataka nikajiunge na mimi niwe nabanjuka kwa raha zangu
hii kitu inashangaza sana, asilimia kubwa tumezaliwa katika jamii ambazo tangu udogo wetu tumepatwa kufundishwa kuwa kufanya mapenzi kabla au nje ya ndoa si sawa (dhambi), ila asilimia kubwa tunalipuuza hili kadri tunavyokuwa na kuona kufanya mapenzi ni moja ya haki zetu za msingi regardless ya dini zetu, dhambi pekee kwa sasa tunayoiona ni kufanya mapenzi kinyume na maumbile.Alikataa kwa sababu ni mtu wa dini sana. Hivi ni dini gani hiyo ambayo haramu ni ngono kinyume na maumbile tu lakini uzinzi inaruhusu? Nataka nikajiunge na mimi niwe nabanjuka kwa raha zangu
Haya mapenzi ya upofu wa namna hii ni hatari sana. waathirika wakubwa mnakuwa ni wanawake. Ona sasa dada wa watu kakubali kuingia kwenye huo ulimwengu akidhani anaokoa na kulinda penzi kumbe anaangamizwa.Nimeandika na kufuta mara 7 ngj nitulie kwanza ntarudi baadae
Sasa wale wa msamvu ni zaidj ya hao unaowasema. Ogopa mpaka Mungu kaleta kihama cha kushtukizaKuna watu wana dhambi kuzidi dhambi zenyewe sio kuwa
wengine ni wasafi rahasha ila najiuliza kwanini watu kama hao hawakuwepo Msanvu
Always smartAlikataa kwa sababu ni mtu wa dini sana. Hivi ni dini gani hiyo ambayo haramu ni ngono kinyume na maumbile tu lakini uzinzi inaruhusu? Nataka nikajiunge na mimi niwe nabanjuka kwa raha zangu
Huwa wanakuwa na frustration za kijinga, hapo utakuta alikuwa anafikiria wenzake washaolewa, akafikiria akiachana na huyo jamaa itamchukua muda kumpata wa kumuoa na muda pia utakuwa umesogea. So akaona bora tu hiyo kitu ili kumkeep jamaa pasipo kujua mwenzake tayari alikuwa na mipango ya kumuacha muda mrefu.Imenisikitisha sana hata kama umeitoa fb huyo bint alifikir akitoa tigo ndio hataachwa
Haya mapenzi ya upofu wa namna hii ni hatari sana. waathirika wakubwa mnakuwa ni wanawake. Ona sasa dada wa watu kakubali kuingia kwenye huo ulimwengu akidhani anaokoa na kulinda penzi kumbe anaangamizwa.
NOMA SANA
Pole yake, ajiandae kupata fedheha na kejeli toka kwa wanaume atakaokutana nao mpaka atakapopota muumini wa tako.Kupenda gani huku mpaka unafikia kutoa tako lame excuse ona sasa kilichompata damn
ni tofauti nikuulize hivi wewe kama mwanamke unampenda kweli kweli kakuambia umfanyie huo mchezo utakubali???Mapenzi mkuu...
Akili ikiongozwa na moyo na sometimes huleta maamuzi ya ajabu sana. Kama vile sisi tunapofikiri kwa kutumia kichwa cha chini ambacho hakina ubongo matokeo yake huwa tunaleta madhara kwenye jamii.
ni tofauti nikuulize hivi wewe kama mwanamke unampenda kweli kweli kakuambia umfanyie huo mchezo utakubali???
sio unyonge mkuu huu ni ujinga hata kama ni kufanyiwa maamuzi sio kitendo cah kijinga kiasi hichoKwanza nitamuona hafai kuwa mke.
Hivyo hastahiki kuwa mama wa watoto wangu. Tofauti na kwa wanawake wao huwa wanyonge hata kwenye maamuzi yanayohusu maisha yao binafsi.