Wanaume tuwe na huruma

Wanaume tuwe na huruma

fabinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
3,042
Reaction score
2,235
Tangu nikiwa chuoni nilikua na mpenzi wangu ambaye kwa sasa naweza kusema kuwa tumekaa pamoja kwa miaka tisa tangu mwaka wa kwanza chuoni. Baada ya kumaliza chuo tuliendelea na mahusiano, lakini mimi sikuchukulia siriasi mpaka mwaka 2014 alipoanza kuniambia habari za kujitambulisha kwao, wakati huo nilikua na msichana mwingine nayeye pia sikua naye siriasi kwani ndiyo nilikua nimepata kazi nikamuambia anipe muda. Mwaka 2016 nilianza kumpenda huyu msichana mpya ila na yule wa zamani nikawa naona shida kumuacha.

Ukweli nikuwa alikua hajanikosea kitu chochote lakini nilikua simpendi tu kwani mapenzi ya mwanzo yalikua ya kichuochuo kama unavyojua mnadanganyana mambo mengi ambayo kiuhalisia wa kimaisha si kweli. Niliwaza namna ya kumuacha nikakosa, rafiki yangu alinipa ushauri wa kijinga lakini niliona utasaidi. Aliniambia nimuombe mpenzi wangu mapenzi kinyume na maumbile na kama ni mtu anayejiheshimu basi atakataa na mimi nimuambie nishaathirika na hiyo tabia siwezi kuacha nilazima kuoa mwanamke wa namna hiyo.

Kweli nilimuambia na kweli alikataa katakata kwani ni mtu wa dini sana, nilishukuru na kumuambia kuwa mimi siwezi kuoa mwanamke ambaye siwezi fanya naye hivyo. Lakini baada ya kama mwezi alipoona nimemchunia siriasi alikuja na kuniambia kakubali. Nilishapanga kumuacha lakini alinisisittiza yupo tayari nikaamua nijaribu kwani nilikua sijawahi kufanya, kweli tulifanya na ikawa kama mchezo wetu na nikazoea ikawa kila mmoja anapenda. Tuna miaka kama mitatu sasa na niliachana na yule dada mwingine alifumania meseji za huyu akaniacha.

Tatizo linakuja kuwa sasa hivi umri wa kuoa umefika, najiona nipo tayari na nina msichana mwingine ambaye tuna mwaka sasa. Nataka kuacha hii kitu kwani najua ni dhambi, siwezi kumuoa huyu mwanamke kwani kweli ashaharibika na kama nikitaka kumuoa inamaana mimi mwenyewe sitaacha na kweli namuonea kinyaa. Lakini tatizo nawaza namuachaje bila kumuumiza. Nimemfanyia kila kituko ili aniache lakini hataki, naomba unisaidie hata uongee naye ili aniache yeye ili asiumie, nitanunua hata vitabu kumi tu rafiki yake hata amshawishi aongee na wewe kwani nishamfanyia vituko sana ili umuambie tu aniache nioe kwa amani, naomba msaada wako, siwezi kumuoa kwa kweli, itakua aibu hata kwa wanangu
 
Alikataa kwa sababu ni mtu wa dini sana. Hivi ni dini gani hiyo ambayo haramu ni ngono kinyume na maumbile tu lakini uzinzi inaruhusu? Nataka nikajiunge na mimi niwe nabanjuka kwa raha zangu
 
Inasikitisha sana kwakweli, ila na wanawake ndio waingie akili tena wasikae kama mazezeta tu kila wanaloambiwa wakafuata..


All in all kila mmoja atabeba mzigo wake
 
Huko fb kuna mambo sana,
Anyway, jamaa ajiandae na karma
 
Ajitathmni sana maana akimuacha na akaoa mwingne atambue kabisa watoto wake atakaozaa dhambi hyo itakuwa juu yao...
Na tena hatokufa mpaka ashuhudie kizazi chake kikipitia ufirwaji kama alioufanya Kwa mtoto Wa mwenzake.. Karma
 
Sio mwenye kuomba ushauri wala huyo binti anaefaa kuwa mume au mke. Hakuna kitu hapo.
 
Kwani ya kimbele na maumbile haubanjuki kwa raha zako?
Alikataa kwa sababu ni mtu wa dini sana. Hivi ni dini gani hiyo ambayo haramu ni ngono kinyume na maumbile tu lakini uzinzi inaruhusu? Nataka nikajiunge na mimi niwe nabanjuka kwa raha zangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom