Wanaume tuwe na huruma

Picha inajieleza"Hii vita haitamuacha mtu salama".
9272e4f2fdf793819673abf70cc82caa.jpg
unauhakika gani kuwa hiyo ni mimba?
ukiona binadamu yeyote yule kavimba tumbo, fikiria vitu vitano vinavyoanza na F...............
1. Fetus.
2. Feaces.
3. Fat.
4. Fluid.
5. Flatus.
Na kila kimoja kina kipimo chake, CLINICALLY.
 
Inasikitisha sana...

Kwa mijini watoto wenyewe wanataka...
Kwa kijijini mara nyingi sana wazazi huchangia...

Kijijini utasikia... Mwanangu mtoto wa mzee muarubadu,yule maarufu kwa uvuvi wa ngandu kaja kuposa hapa... Umuheshima kuanzia sasa ndiyo mumeo yule... Mtoto ataacha kupigwa...


Mjini ni watoto wenyewe... Utasikia "The guy has a car and a house and he bought me a new smart phone i love him, he's my man" ataacha kupigwa...

Cc: mahondaw
 
Katika jamii iliyopoteza haiba za ubinaadamu na kuenenda kama wanyama wa mwituni.....haya ni moja ya matokeo yake.......

Wanadamu wameshapoteza dhumuni la wao kupewa fahamu na kuutawala ulimwengu badala yake ulimwengu ndio unawatawala wanadamu......
 
Back
Top Bottom