Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,090
- 127,827
[emoji23] [emoji23] [emoji23] weweeMnaishi wapi sasa jombaa?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] weweeMnaishi wapi sasa jombaa?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kibiti
Kweli umenifanya nifikirie pia. Huyo mtoto hana hata tumaziwa bado mdogo sanaunauhakika gani kuwa hiyo ni mimba?
ukiona binadamu yeyote yule kavimba tumbo, fikiria vitu vitano vinavyoanza na F...............
1. Fetus.
2. Feaces.
3. Fat.
4. Fluid.
5. Flatus.
Na kila kimoja kina kipimo chake, CLINICALLY.
Kama ni hivyo kweli sio poa.no unaeza ukakuta alibakuliwa...wanaume wengine hawana adabu.