Wanaume tuwe makini Sana tunapo oa wanawake masikini

Acha mambo ya Ulozi, Nchi IPO kweny Maombolezoo .
 
Ni shida sana lakini haya mambo ya ushirikina siyo ya familia maskini tu hata ambao ni matajiri huwa ushirikina upo.
 
Sikubaliani na wewe,uchawi na umasikini haviendani. Uchawi ni roho ya mtu husika,usidhani kuwa ndoa nzuri ni zile ambazo watu wanaoana wanye uchumi bora.
Labda ueleze umasikini gani unaongelea hapa?
Ndoa ni eneo pana sana,kulizungumzia kinadharia namna hiyo.
 
Kweli kabisa maana wanawake si wanasema hawawezi kuolewa wala kumpa penzi mwanaume asiye na hela, na sisi wanawake masikini wanaotegemea kuja kuchuma kwako tuwakwepe kama corona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…