katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Mwanamke wako atakuja tena wakufanana naye kwa muda utakaotakiwa ila now piga mechi .Wanaume tuwe makini, tunakumbushana tu!!
KUCHAGUA MCHUMBA (Mke)
1: Amcha Mungu
2: Awaimani kama yako
3:Mkarimu
4: Mchapakazi
5: Mwenye mapenzi ya kweli asiye penda pesa zako tuu
6: Asiye mgomvi
7: Awe safi kiroho na kimwili pia
8: Mwenye mapambo ya rohoni
Kama unazingine embu zitupie uzi ukamilike!!