Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,719
- 98,901
mwenye hati miliki Niko peke yangu kweli?
Sinaga tabia ya kuchanganya mie...only you mtarajiwa
mwenye hati miliki Niko peke yangu kweli?
hahaha basi sawa;;; acha masihara kweli wewe wa kwetu kweli Fanya kunisemesha ebu?Sinaga tabia ya kuchanganya mie...only you mtarajiwa
Ajue kupika...nimejifunza kupika ili mume wangu asije kupata tabu
Awe mjuzi wa mambo ya ndani,sio ajue kukatika tu...bali kuikatikia pia
Awe na ujuzi wa hata moja ya jambo moja la kidunia mfano kubet
hahaha basi sawa;;; acha masihara kweli wewe wa kwetu kweli Fanya kunisemesha ebu?
Nimecheka!!Atakaekuoa wewe atakiona chamtemakuni sio usiku sio mchana, atajuta kwanini alikutana na wewe. Usichukie niulize kwanini?
Hahahahh nimekutania bhana mie sio wa hukoHahaha we mzaramo
Una tabu sana
Hahahha Ata ivyo inaonekanaHahahahh nimekutania bhana mie sio wa huko
Mungu ndio anavyo vyote?Nashkuru sana MUNGU anavyo vyote hivyo. ALLAH amzidishie Wallah.
AMIN.
[emoji120]
binadamu hatjakamilika. kumpata mwenye hivi vyote kwa pamoja ngumuu mno.Wanaume tuwe makini, tunakumbushana tu!!
KUCHAGUA MCHUMBA (Mke)
1: Amcha Mungu
2: Awaimani kama yako
3:Mkarimu
4: Mchapakazi
5: Mwenye mapenzi ya kweli asiye penda pesa zako tuu
6: Asiye mgomvi
7: Awe safi kiroho na kimwili pia
8: Mwenye mapambo ya rohoni
Kama unazingine embu zitupie uzi ukamilike!!
Nimecheka!!
Kwanini?
Hakuna Maendeleo bila pesa mzee.Penda maendeleo usipende pesa!
Hahahha Ata ivyo inaonekana
Unayajua sana
mtarajiwa
Sio mbayaWewe ni mjanja mjanja sana unajua mambo mengi kila kukicha unaingiza kitu kipya kichuani, mbinu nyingi za wanaume za kimaisha unazisoma huku yani hupitwi.
Kwa ufupi umeharibika, mwanamke akiwa mjanja sana hakunaga ndoa ktk maisha yake.
hahaha ebu endelea kupika ukoSio mbaya
Cha msingi naikatikia muda wowote nikiihitaji
Mpenda maendeleo hafikirii pesa maana anazijua means za kuipata pesa, lakini mpenda pesa ts not necessarily atapata maendeleo (sababu kubwa ya kupenda pesa ni kutokuwa na pesa).Hakuna Maendeleo bila pesa mzee.
hahaha ebu endelea kupika uko
Unataka unifungie ndani mapema hiviUje tulale labda
Saa tatu hii napika nini?
Unataka unifungie ndani mapema hivi
mtarajiwa; tutajenga kweli
hahaha au ndo mambo ya tanga
mkuu you made my day.. hasa ulivosema ajue kubeti.. dah! sijui ulikuwa unawaza nini!!Ajue kupika...nimejifunza kupika ili mume wangu asije kupata tabu
Awe mjuzi wa mambo ya ndani,sio ajue kukatika tu...bali kuikatikia pia
Awe na ujuzi wa hata moja ya jambo moja la kidunia mfano kubet