Wadau naomba kupata uzoefu kutoka kwa wanaume tuu. Mwenzenu mara nyingi kazi zangu zinanilazimu kusafiri nje ya mkoa wakati mwingine hata miezi mitatu nakuwa mbali na familia yangu, ninaposafiri kikazi nje ya Mkoa ninapata taabu sana kukwepa kutoka nje ya ndoa. Mara nyingi huwa nastahimiri kipindi cha mwezi mmoja mpaka mmoja na nusu, lakini kuanzia hapo hata nitumie mbinu gani nimejikuta nashindwa kabisa uzalendo...... Naombeni kupata uzoefu kwa mdau mwenye nature ya kazi kama yangu anawezaje kushinda hii hali?
Rocky, you rock!Sikutaka kuchangia ila kidogo Ndetirima kasema kitu cha maana hapo juu
Mkuu inaelekea baada ya kazi huwa huna shughuli nyingine ya kufanya na hivyo kujikuta alone kwa muda mrefu sana na idle pia
Nikushauri ili kuondoa hali ya matamanio (japo najua ipo na haizuikiki kwa mwanaume yeyote) jitahidi kufanya mazoezi kila utokapo kazini.
Kuufanya mwili wako kuchoka kutakufanya vile vile kupuinguza kwa kiasi matamanio yako ya kufanya au kuwaza masuala hayo
Vile vile la muhimu mkuu heshimu ndoa yako na mfikirie mkeo nae anawaza hilo kwa wakati huu kuwa kwa kuwa wewe uko mbali ngoja atafute mwanaume wa kumtosheleza au kupunguza tamaa zake
Hilo ni mbaya sana na kama ni muumini mshirikishe Mungu akuepushe na tamaa hizo za kupenda kumsaliti mkeo
Rocky, you rock!
OWA MKE WA PILI.
REASON
Hakuna sehemu Yesu kasema kuoa mke wa pili dhambi.
Hakuna sehemu PROPHET wa mungu wamesema KUOA mke wa pili dhambi.
Sehemu ile kama hakuna wanawake hapo inabidi ufunge kama wanavyo fanya wa islam, au upunguze kula chakula ili shahawa zipungue...Mana shahawa zikizidi unaweza kuchanganyikiwa ukarukia hata wanyama....Au kama kutakuwa na wanawake sehemu ile, utakutana nao wale ambao watakushawishi utoke nje ya ndoa.
Kuna totoz zina fig 8 mazee, huwezi kuzipita itabidi uvute handbrake juu.
All the best.
Saikolojikale, usifikiri kuwa baada ya miezi mitatu utapata tena ile kitu. We ji-tune kuwa unapaswa kuishi maisha ya useja, kupata ni majaliwa, utaona kuwa hakuna ugumu wowote. Kumbuka kuwa hiari ya moyo husinda utumwaKumbuka ugumu wa kupanda mlima mara nyingi huanzia karibu na kilele
Hakuna ndoa, tena inavunjika bila talakaRR thank you so much
Nimeona wengi wa hapo wanashangilia sana kwa jamaa kumshauri atoke nje kwa kuwa warembo wengi
Ajiulize swali moja na mkewe akiandika uzi kama huu kwenye mtandao wowote na akapata ushauri wa namna hiyo kuwa na yeye atafute mwanaume wa kumaliza matamanio yake ni nini kitatokea
Je kuna ndoa tena hapo
Kama anaweza kujituliza mwezi mmoja ni kipi kinachomshinda kwa miezi miwili
Na mambo haya yanategemea pia na kundi atakalokuwa anatoka nao kwenda club au sehem za starehe watakuwa wanampe ushauri kama huo
Kuwa kwa kuwa ni mwanaume hawezi kuvumilia miezi mitatu atafute sehem ya kuondoa matamanio
Simshauri hata kidogo
Heshimu ndoia yako na mfikirie mkeo na fikiria kile utakachokifanya ukiwa unafanyiwa wewe itakuumiza kiasi gani
Hakuna ndoa, tena inavunjika bila talaka
Ahaaaaa kazi ipo? Miezi mitatu kusastain unashindwa mbona mimi nina miaka mitatu?
Ahaaaaa kazi ipo? Miezi mitatu kusastain unashindwa mbona mimi nina miaka mitatu?
Siku zote huwa nadhania wewe ni mtoto wa kike, kumbe mwenzangu....lol ushauri wako mzuriMi nakubaliana na wale walioshauri uombe ruhusu kila baada ya wiki mbili au tatu kwasababu zozote zile uende kwa mkeo...Kwenda nje ya ndoa kutakugharimu kuliko hayo matamanio yako usipokuwa na akili,whether mkeo atajua au hatajua,kuna mabadiliko makubwa sana wanaume wanakuwa nayo wanapoanza kwenda nje ya ndoa....Inawezekana kabisa kutokwenda nje ya ndoa,fanya uamuzi sahihi
Ni nini kinakuwezesha kuyashinda majaribu kwa siku moja? Wiki moja? Mwezi mmoja? kama unaweza kuvumilia kwa mwezi mmoja, nini kinashindikana kuendelea na miezi mingine?
Yaah sawa kabisa, kama ilivyo pia kwa mkeo, naye huwa uzalendo unamshinda ikifika kipindi kama hicho! Ezan, Kumbuka unapokuwa mbali na mkeo kikazi na yeye mkeo anakuwa mbali na wewe kwa umbali huohuo. matamanio yako hayatofautiani na ya kwake kwa sababu wate mmekuwa mkitimiza mahitaji yenu kwa pamoja. Yeye ni binadamu kama wewe na ana feelings kama zako. kama huwezi kuiheshimu ndoa yako kwa kuwa mwaminifu kwa mkeo je mkeo akikufanyia unavyofanya wewe utafurahi? mkeo naye akishindwa kuvumilia basi agawe vyombo vyako kwa wanaume wengine? Tena fikiria kama wewe huwa humfikishi penyewe halafu likatokea janaume linalojua kazi kukuzidi likamridhisha mkeo, nakwambia atakuwa anaomba uwe unasafiri kila siku tena hata kwa mwaka mzima!
Ukiamua tu utaweza. Ila ukisha jiwekea mwenyewe limit ya mwezi na nusu basi utapata shida. Hakuna kitu mwili unaweza kulazimisha ikiwa roho yako inakataa kwa msimamo wa nguvu. Who gives orders?
Wadau naomba kupata uzoefu kutoka kwa wanaume tuu. Mwenzenu mara nyingi kazi zangu zinanilazimu kusafiri nje ya mkoa wakati mwingine hata miezi mitatu nakuwa mbali na familia yangu, ninaposafiri kikazi nje ya Mkoa ninapata taabu sana kukwepa kutoka nje ya ndoa. Mara nyingi huwa nastahimiri kipindi cha mwezi mmoja mpaka mmoja na nusu, lakini kuanzia hapo hata nitumie mbinu gani nimejikuta nashindwa kabisa uzalendo...... Naombeni kupata uzoefu kwa mdau mwenye nature ya kazi kama yangu anawezaje kushinda hii hali?
Michelle, naamini kua hata wanaume wanaweza, ni swala la personal discipline, kufaham kua your mind controls your body, and not the opposite. Mr. Rocky kampa ushahuri mzuri tu: ajaribu kutafuta cha kufanya baada ya kazi, kama sport au hoby funali. Aachane na company ya wanaume wanao mshawishi kwenda nje ya ndoa. Labda hadi sasa kafaidi kwenda nje ya ndoa bila kukamatwa ila nafsi yake inamsuta na anataka kuacha. basi ahakikishe anabadilika kimawazo kwanza, na matamanio ya mwili yatabadilika pia. soma ushahuri wa Ibrah hapa chinisikujua we ni mwanaume Smile? Otherwise, maumbile yetu ni tofauti sana na wao especially mwanamme aliyezoea kufanya tendo la ndoa,kukaa muda mrefu ni matatizo kwake( si padri huyu)....kwasisi wanawake hilo linawezekana kabisa....!!
Inawezekana hata kukaa mwaka mzima bila ku-do, tatizo liko kwenye mawazo kuwa haiwezekani. Kama Ezan ungekuwa kijana ambaye hujaoa bila shaka ushamba ungekusukuma kudo lakini kama umeoa tatizo liko wapi? Kipi ambacho hukijui ambacho unataka kukivumbua?
Tatizo liko kwenye mawazo tu, ukiamua inawezekana, kuwa bize tu na kazi iliyokupeleka.
Ukianza kuona shida hiyo ita mama hukohuko Sumbawanga, anakaa wiki moja, then anasepa!...Hela makaratasi, kwani nini bana!
Mwezi na nusu tayari uko HOME na unaenjoy nae tena!..