KUKU_UFUGAJI
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 939
- 1,844
- Thread starter
- #21
Hawaeleweki wanataka nini hawa.Pole sana brother ndio shida yani kitu chochote unachiwekeza kwa mwanamke we hesabu kuwa ni hasara coz mwisho wa siku utakuja kuachwa tu
Hawaeleweki wanataka nini hawa.Pole sana brother ndio shida yani kitu chochote unachiwekeza kwa mwanamke we hesabu kuwa ni hasara coz mwisho wa siku utakuja kuachwa tu
Wema usiozidi uwezo ndiyo kauli mbiu miaka hii kwetu sisi wanaume.Hata huyo mmoja, anaweza kukuchuna pesa ambazo ungezitumia kwa ke 5 au zaidi. Labda wema usizidi uwezo
Ha 😆 😂 😂Ebu tueleze kijana wameshakutongoza wangapi?
Naona unapenda kutongozwa tongozwa sana🥶
Chunga hayo masega🥶
Usikate tamaa Mkuu. Focus iwe mbele siku zote Mkuu, kikubwa umesha jifunza jambo, usi fanye kosa tena.Ahsante sana mkuu mimi mwaka jana niliishi maisha ya peke yangu kiukweli pesa niliiyona halafu nilikuja kuwa na maendeleo makubwa sana ila mwaka huu nilivyowaiingiza wanawake aisee nimejikuta sina maendeleo nikapoteza kabisa focis ya maisha yangu. Now ndio naanza upya tena kujijenga
Kuwa makini na hayo maneno, kumbuka fainali uzeeni.Pole umepigwa na nyundo nzito umekuja kupunguza machungu humu ! Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake, kama unapenda watoto wazuri lazima uingie gharama,,,, kama ni mtu wa magube gube yasoeleweka ambayo hayana gharama nenda kajichotee U.T.i
Narudia tena kila mbuzi hula urefu wa kamba yake, pia jikune unapofikia,,,, ! Usiige matumizi !
Maisha ya sasa ni tofauti kabisa na maisha ya haya 2005 kurudi nyuma.Wengi wa wanaume wanapitia umri ambao watahonga tu hata iweje.
Ila ulichosema ni muhimu wanaume wakizingatie, muhimu sana. Kama watu wanadhani maisha ni simple kama ilivyokuwa 90s hadi early 2000, wajue sasa mambo yamekuwa tofauti.
Dawa hiyo ume iona ?!Tuache
kama unataka mahusiano serious jitahd uwe kwenye mahusino na mwanamke anayekupenda yaani mwenye hsia na ww , sio unayempenda ww , hutaona hayo mapicha pichaHakuna hata haja ya salamu naenda moja kwa moja break ya 1 ni kwenye mada inayohusu kuhonga.
Wanaume tuache kuhonga,narudia tena wanaume tuache kabisa kuhonga, tuwe wabahili sanaa, haya maisha ya sasa hivi yana hitaji ubahili wa hali ya juu.
Pata mwanamke wako mmoja, tulia naye.
Funguka uwezo wako wa kiuchumi kama kumsaidia mahitaji basi isizidi asilimia 10 ya kipato chako kwa mwezi. Ikiwezekana hata asilimia 5 ila usivuke aslimia 10.
Ni aibu mwanamke una muhangaikia sanaa kumuhudumia alafu ina tokea mme kwaruzana kidogo basi ana kimbilia kuachana na wewe, alafu una piga mahesabu jinsi ulivyo kuwa una muhangaikia na kumsaidia shida zake kwa haraka haraka una kuta hakuna cha maana umefanya.
Kesho kutwa yuko na mwanaume mwingine mwenye uwezo kukuliko, ana anza kukucheka, kuku dharau na masimango kibao.
Huu ndiyo mwanzo wa depression kwa wanaume, kukata tamaa na kujiona haufai.
Mimi tangu nime anza ubahili kwenye kuwapa hela wanawake nime ona faida kubwa sana kwenye hela zangu.
Now nina fanya savings na hela naziona, nanunua nguo nzuri nina vaa napendeza wasichana wana niangalia balaaa, yaani now ni mwendo wa kujipenda tuu, kula vizuri,kuvaa vizuri, panga nyumba au chumba kizuri, nunua vitu vya ndani vizuri jaza chumba kipendeze, alafu mwisho wa siku una kuta wasichana wale wale uliokuwa una hangaika kuwatongoza now ndiyo wana kutongoza Wewe, mwisho wa siku una baki na shangaa.
Kweli kuhonga ni laana, plus kujitia umaskini na nuksi juu.
Wanaume tujipange sana nguvu zetu zina isha huko mbeleni tuna elekea kwenye uzee, je now tunacho chochote kitu ila kazi kuhongaa tuu je huko mbeleni bado tutakuwa nacho hicho chochote kitu na maisha yenyewe ndiyo haya pata potea.?
Tukazane kuwekeza wanaume tuache kabisa suala la kuhonga.
Hi ni wa vijana watafutaji na wapambanaji ambao wana jitafuta kimaisha.
N.B Hata kama ukisha jipata achana na kitu kina itwa KUHONGA una jitafutia NUKSI,MIKOSI NA UMASIKINI KWA JASHO LAKO,NGUVU ZAKO NA MIKONO YAKO MWENYEWE.
Hii fact mzee dem akikupenda wala upati tabukama unataka mahusiano serious jitahd uwe kwenye mahusino na mwanamke anayekupenda yaani mwenye hsia na ww , sio unayempenda ww , hutaona hayo mapicha picha
mwanamke wa kumhonga ni yule part time tuu yaan win win stuation , anytime mkeka unachanika kila mmoja kivyake ,
By nature hsia za mwanamke huvutiwa na sio kumhonga , unaweza kumhonga kama hajavutiwa na ww utapata tabu sana ,
so jitahd kuvutia na sio kufukuzia
Ni kweli Mkuu,ume ongea point kubwa sana. Wanaume tuwe makini sana, kuna wazee (hawa baba zetu) sasa hivi una waonea huruma ila uki uliza kipindi walipo kuwa vijana una ambiwa walikuwa wana hela ila zili ishia kwenye umalaya, pombe na anasa sasa hivi kwenye uzee wao hawana kitu yaani wamechoka hata watoto hawana muda nao.kama unataka mahusiano serious jitahd uwe kwenye mahusino na mwanamke anayekupenda yaani mwenye hsia na ww , sio unayempenda ww , hutaona hayo mapicha picha
mwanamke wa kumhonga ni yule part time tuu yaan win win stuation , anytime mkeka unachanika kila mmoja kivyake ,
By nature hsia za mwanamke huvutiwa na sio kumhonga , unaweza kumhonga kama hajavutiwa na ww utapata tabu sana ,
so jitahd kuvutia na sio kufukuzia
Kabisa kaka1. Pesa anapewa mchumba/mke tu ambaye una uhakika naye.
2. ili usihonge hupaswi kujiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi au kirafiki na mwanamke yyt. Ata ukisema ukae na mmoja huyohuyo atakuchuna utafirisika. N bora ukae singo kabisa. Adi pale utakapoamua kuoa.
3. Urafk wa ke & me ni wa kuepuka. mana pesa zako haztakuwa salama.