pasua anga
Member
- Jan 7, 2017
- 26
- 13
*Mwanaume wa Arusha kakaa mahabusu miezi minne anatoka huku anacheka, mwanaume wa Dar kaambiwa aonyeshe vyeti tu analia. [Wanaume wa Dar Bwana].*
Mkuu uliishia la ngapi?*Mwanaume wa Arusha kakaa mahabusu miezi minne anatoka huku anacheka, mwanaume wa Dar kaambiwa aonyeshe vyeti tu analia. [Wanaume wa Dar Bwana].*
Huyo unayemuita mwanaume wa Dar, muulize ana krismas ngapi mjini?Msukuma mwenzio huyo.
huyo Mwanaume wa mikoani kama wewe