Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,197
Wewe unachapa kwa kutumia fimbo gani?
Yoyote iliyo mbele yangu ila nadra sana mi kuchapa nadra sana
Wewe unachapa kwa kutumia fimbo gani?
Wakati mwingine walimu ni watu muafaka lakini wakati mwingine si watu muafaka. Tatizo kubwa la walimu wengi wao wana "VISION NDOGO".
Mwalimu ni mwanamke pekee ambaye ndio mfano wa kuigwa. Hawana gharama kubwa, wanajitambua japo sio wote,
Mwalimu ni mwanamke pekee ambaye ndio mfano wa kuigwa. Hawana gharama kubwa, wanajitambua japo sio wote,
Hamna asiyependa kuwa na vitu vizuri, walimu wamejikuta tu hawana jinsi wawe wapole tu.
Mi nilipokuwa mdogo nimeshuhudia walimu wa kike waliiolewa wakitoka shule wana yao ya kuchepuka kama kawaida.
sasa mkuu kwa umri wako ulifankiwaje kung'amua mambo
ya wakubwa zako kuwa wana chepuka..??
hapo napata walakini kuwa na wewe yawezekana ulikuwa
unaunga nao tera toka mdogo..simply guessing .
Chaki ina harufu gani?