Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,431
WANAUME TUNATIA AIBU.
Unaenda kutongoza mwanamke ambae hana kazi lakini ana Galaxy s6 na iphone6 plus. Wigi la laki 3. High hills 150,000/ kucha anatengezeza kwa 50,000/. Gauni 200,000/ amepanga nyumba analipa kodi laki 4.
Ana ka spacio anaendesha. Haonekani asubuhi akienda kazini ye jioni tu utamkuta Bar na hainken.Ulivyokuwa ----- unakuja kutulalamikia "ooh yule msichna hana maana eti ananiomba mil 1. Aongezee anunue Flat mpya"
KAKA KWANI WANAOOA WAALIMU NI WAJINGA?