1- Huyu kakuweka kwenye chupa.Jamani jamani wanaume wenzangu tupunguze idadi ya wanawake.
Nawaambia hili baada ya kutoka gamboshi kwa rafiki yangu.
Mwanaume unapotongoza ina maana una mdanganya kwa uongo wa malengo kama kumuoa, kuishi naye, uchumba wa malengo, sehemu yake ya maisha na n.k
Sasa yeye mwanamke ili kuweka sawa usitoke kwenye himaya yake lazima kwenda kutafuta kinga itakayo kukamata wewe kwa njia yoyote.
Mfano kwa nini tunarogwa sana?!
Una wanawake 5
1- Huyu kakuweka kwenye chupa.
2-Huyu kachukua manii zako
3-Huyu kakuogesha dawa bila kujua
4-Huyu kakuwekea kwenye chakula
5-Huyu kakuchinjia mbuzi [emoji23]
Ukitoka hapo kama umekaa mwenyewe unaanza kuongea mwenye au unataja majina ya wote utazani mtangazaji wa mpira.
Unajifanya hujui! Mpaka Sahivi nahangaika ulivyoniroga nikakupenda almanusra uniue we mwanamke!.. Tena hiyo mizimu ya kwenu ni hatari maana ilinifanya maji nikaita mma..πMambo ya kulogana kisa mapenzi bado yapo kumbe
Kuumbee umerogwaaa ndiooo maanaaa....[emoji23]Unajifanya hujui! Mpaka Sahivi nahangaika ulivyoniroga nikakupenda almanusra uniue we mwanamke!.. Tena hiyo mizimu ya kwenu ni hatari maana ilinifanya maji nikaita mma..[emoji23]
Half niliskia yule mganga niliyeenda kukufanyia mambo amedanja, nilitaka nikakukomboeπ pole chalii angu vumilia tu ndo mapenzi hayoππUnajifanya hujui! Mpaka Sahivi nahangaika ulivyoniroga nikakupenda almanusra uniue we mwanamke!.. Tena hiyo mizimu ya kwenu ni hatari maana ilinifanya maji nikaita mma..π
Hako ka lenie aisee ni kiboko kana mizimu ikipanda inaomba hadi kitimoto ikimaliza inaomba na maji Kisha inamalizia na ubuyu huku ikitema mbegu..π€£Kuumbee umerogwaaa ndiooo maanaaa....[emoji23]
Ndo usinitese sasa si uliniroga mwenyewe tutulie mma wangu..πHalf niliskia yule mganga niliyeenda kukufanyia mambo amedanja, nilitaka nikakukomboeπ pole chalii angu vumilia tu ndo mapenzi hayoππ
Hahahaha[emoji23] samahani sana sina utani na Lenie ngoja nikachekee chooni[emoji23][emoji23][emoji23]Hako ka lenie aisee ni kiboko kana mizimu ikipanda inaomba hadi kitimoto ikimaliza inaomba na maji Kisha inamalizia na ubuyu huku ikitema mbegu..[emoji1787]
Sina mambo mengi mie si wanijua.Ndo usinitese sasa si uliniroga mwenyewe tutulie mma wangu..π