Mi ni mwanaume lakini nishindwa kuelewa kabisa sie tuna problem gani. Sijui laana!!!
Iko hivi. Hapa mtaani kuna mshikaji amezaa na mke wa jirani yake.(Soma post "nina wasiwasi jamaa ataua mtu"). Sasa huyo jamaa (aliezaa na mke wa jirani yake) mkewe nafikiri ni the most beautiful hapa mtaani, halafu yuko poa ile mbaya, anamheshimu kila mtu japo wana mshiko wa maana na anaongea na kila mtu, yaani mimi na wengine kadhaa tumempa mia mia. Hata ukienda pale kwake anavyo watreat watoto na wafanyakazi, utajua tu she must be the best mother. Kwa kifupi ni mwanamke wa maana.(sijui tu kwa bed). Sasa huyo mke wa jirani (ambaye mumewe kamzalisha) ni kituko. Sura hakuna, figa mbaya (tumbo hilooo), mdomoni sasa ni dharau tupu japo ana maisha ya kawaida sana (mganga njaa tu). Halafu jeuriiii!!! Sasa sielewi, jamaa aliona nini kwa mke wa jirani yake wakati wa kwake mzuri vile? Kuna mtu ana wazo jamani?