Wanaume tuna Matatizo

Wanaume tuna Matatizo

Ume kuja kunisema adi uku..mapenzi yangu kwa mke wangu yana kuhusu nini...
 
Ni wivu tuu,...

Japo mm siwezi mruhusu mume wangu adeki hata kama ananipenda to the moon and back,.

Raha ya kudeki uiname,ujitikise tikise hasa maeneo flan huku mume anakuona,.sasa mume apige deki anataka kutikisa nini jomonii??lol
Hala hala unapojitikisa hayo maeneo chunga usijambe
 
Sio mpenzi sana wa jukwaa hili ila kuna tabia nimeiona imenishangaza baada ya kwenda likizo home kama unavyojua janga la corona.

Kuna wapangaji pale home huyu sasa ni mwalimu ameoa unamkuta anafua nguo za ndani za mkewe, nguo za mkewe watoto, anaosha vyombo na kupiga deki ndani duh! Ukweli kanishangaza na ukimcheki mke wake anaonekana mpole.

Mzee nadhani kuna vitu hasa kwenye mahusiano huwa havina formula especially nani afanye nini na wakati gani. Personally, naweza kabisa kufua nguo za ndani za mwanamke wangu kwasababu 2 kubwa.
1. Nina jukumu la kumfanya awe msafi kwasababu katika usafi ndiko mvuto unakozidi.
2. Kujali, kama yeye anaweza kukufanyia hivyo kwanini wewe usimfanyie hivyo?

Haikupunguzii uanaume wako bali inaimarisha mahusiano yako

Sent using Jamii Forums for Iphone App
 
Yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyo kuhusu.

Thank me later
 
Mzee nadhani kuna vitu hasa kwenye mahusiano huwa havina formula especially nani afanye nini na wakati gani. Personally, naweza kabisa kufua nguo za ndani za mwanamke wangu kwasababu 2 kubwa.
1. Nina jukumu la kumfanya awe msafi kwasababu katika usafi ndiko mvuto unakozidi.
2. Kujali, kama yeye anaweza kukufanyia hivyo kwanini wewe usimfanyie hivyo?

Haikupunguzii uanaume wako bali inaimarisha mahusiano yako

Sent using Jamii Forums for Iphone App
be blessed 🙌
 
Aisee Binafsi Naweza msaidia mke wangu
Kufua, Kuosha vyombo, Usafi kidgo ndani ya nyumba, kupika sio kila Siku Sasa na sio kwenye nyumba za kupanga
Kwang inawezekana kabisa, Ni upendo tuu
 
Ni wivu tuu,...

Japo mm siwezi mruhusu mume wangu adeki hata kama ananipenda to the moon and back,.

Raha ya kudeki uiname,ujitikise tikise hasa maeneo flan huku mume anakuona,.sasa mume apige deki anataka kutikisa nini jomonii??lol
Safi !!..😘😘😘..

...💘💘💘..
 
Hakuna Mwanaume aliyekamilika wa hivyo. Hao ni Mwanaume chotara. Yaani anahomoni nyingi za kike.

Chunguza na tabia zingine utagundua kuwa anatabia nyingi za utata.
 
Wanaume wanaopenda umwinyi utaona tu kaulizao

Kunawanaume wamekuzwa wanafanya kazi zote toka utt hata kama wameoa hawataona aibu kuzifanya kwakua kazoea
Kufua chupi kitu gani ilhali kinachovalia hio chupi ndo chakula chako cha uzima

Tuache majungu kilan mtu afanye anachoona sahihi kwake
Mwanaume kufanya kazi kama hizo ni sawa na haujaoa!
 
Back
Top Bottom