Goddess JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 7,397 Reaction score 25,841 May 6, 2020 #61 New Yorker said: Mwanaume kufanya kazi kama hizo ni sawa na haujaoa! Click to expand... Sawa
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,826 Reaction score 183,008 May 6, 2020 #62 Sasa wewe umeumia nini? Mahusiano ni ya wawili, wao ndio wanachagua waishi vipi sio wewe kuwachagulia. Kavunja sheria namba ngapi ya nchi?
Sasa wewe umeumia nini? Mahusiano ni ya wawili, wao ndio wanachagua waishi vipi sio wewe kuwachagulia. Kavunja sheria namba ngapi ya nchi?