Wanaume: Tumeusiwa

Wanaume: Tumeusiwa

Mimi kama dingi kazi yangu itakuwa ni kutafuta kwa ajili ya familia kama mtoto hata ni appriciate kisa hajui role yangu kwenye life yake, apo shauri yake.

Ni kama jamaa alivo sema, tutafute na tuwekeze. Usianze ku subiri eti watoto wa ku appriciate wakati ilikuwa jukum lako kuwatunza. Kama umewatunza fresh wana life lao. kazi yako kama mzazi ime ishia hapo mengine ni bonus tuu.
Mkuu upo ndani ya kichwa changu. Hicho ndio ninachofanya
 
Ukizaliwa mwanaume ni kazi sana aisee unanza mpenda mama yako sana baba badae ila na ww ukija kuwa mtu mzima ukaoa watoto wako nao pia watampenda sana mama yao kuliko ww aisee sisi wansume tuna kazi sana ni kweli umeongea mzee.
 
Wanaume mnasahau kuwa vitu mnavyoona ni kazi ya kina mama ndiyo hujenga ukaribu wa mama na mtoto.

Jiulize baba ni lini ulikula chakula na wanao na kuona Victor alivyo mvivu wa kula?
Ni lini mara ya mwisho uliwavalisha pyajama na kugundua pyajama za James zimekuwa ndogo anahitaji mpya
Ni lini ulienda kumuona mwalimu wa Ashura na alikueleza hesabu zinavyomsumbua?

Wakina mama tunapambana na vyote hivi ndiyo maana hata uzeeni watoto wanaamini nikimpa mama hela itanunulia chakula lakini ukimpata baba itaishia bar
Kwaiyo unamanisha watoto cc wakina baba hawatuamini kutokana na hulka zetu??
 
Hizo pajama mwisho wa siku nani ananunua.
Huko shule mwisho wa siku nani analipa ada..
Nyumbani hiyo lishe bora inayowapa watoto akili inatoka wapi?? Hiyo nyumba mnayoishi ni nguvu za nani.??.. Watoto wanenjoy maisha w'ends kwa fedha ya nani, nyumbani dstv na katuni vinatoka wapi?? Watoto wakiumwa hospital nani anagharamia??

Hayo yoote mwanaume anaonekana nothing..
Duh Dada Mungu anakuona..
That is true
 
Back
Top Bottom