Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
EeehMama mtarajiwa!!!
Bashite si haja zaliwa bado ila tunataraji
EeehMama mtarajiwa!!!
HahahahaHabari za mchana jirani?[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ooooh! Basi kila la kheri.Eeeh
Bashite si haja zaliwa bado ila tunataraji
Mimi ninaumwa ujue!!!Hahahaha
Sikubaliii twende kituoni uka isaidie polisi
HahahahaMimi ninaumwa ujue!!!
Kwani kuna kesi!!!Hahahaha
Basi usha muachia kesi ntashughulika naye
HahahaKwani kuna kesi!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mimi simooo!Hahaha
Si umesema ni mke wa mtu itabidi akanioneshe huyo jamaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi simooo!
Umesema vyema.Hakuna mwanamke anaywajaza chuki watoto kuhusu baba yao kama baba unatimiza wajibu wako na upo karibu na wanao. Wewe mwenyewe picha uliyojijengea ndo inayowakaa watoto kichwani, kama ni mlevi watoto wataona, kama unampiga mama yao watajua, kama mama ndo mtafutaji watajua tu, kama unadhani kutoa pesa tu ndo malezi huo ni ujinga wako. Watoto wanataka malezi bora sio pesa, wao hawajui hata huko shuleni mnalipa ada au mnalipa mahindi.
Aidha ni ujinga kuwaza kulelewa na wanao uzeeni hasa zama hizi, hii haijalishi upo karibu na wanao au la. Tafuteni mali angali mna nguvu, wekeza, save, anzisheni miradi
Kwanini wafundishwe who is baba kwamba hauna uhakika kuwa wewe ni baba!!????
Baba anaejielewa wala wanae hawafundishwi kuw yeye ndio baba maana wanajua na wanaona. Ukiona wanao ni hadi wafundishwe kuw wewe ndio baba basi tambua umepwaya sana na unapaswa ujitafakari.
Huwa mnajistukia kuwa watoto wanalishwa sumu maana mnajua kabisaa maovu yenu.
The thing is hayo yote ni majukumu yako lakini kubwa kuliko ni uwepo wako katika maisha yao.
Huwa mnajidanganya sana mkidhani all they need is yo money kuliko uwepo wako, ndio maana muda wa marafiki,bar,michepuko,mpira nk hamkosi ila muda na familia zenu hamna.
Matokeo yake ndio kama hayo huwakuta.