Wanaume tumeshindikana kabisa

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,402
Reaction score
1,618
Ukipata mwanaume anayekupenda, kukuheshimu na kukujali mshukuru tu Mungu kwa hilo, ila kuhusu kuchepuka usimchunguze kabisa mwanaume usije kufa kwa presha bure. Yaani mwanaume hata iweje atachepuka tu (SI WOTE).

1. Ukiwa na makalio makubwa ataenda kwa aliye na makalio madogo.

2. Ukiwa unampa hela ye ataenda kumtafuta wa kutumia nae, usipo mpa atatafuta anae mpa hela.

3. Ukiwa unakatika sana kitandani ye atatafuta asiyekatika, usipokatika atatafuta anayekatika.

Yaani ilimradi taflani tu. WANAUME NI JANGA LA KITAIFA AISEE

Dr. MCHUNGUZI HURU (Phd)
 
Last edited by a moderator:

We kama janga basi ni wewe peke yako... Hebu jibu haya mawsali hapo chini..

1. Ukiwa na makalio makubwa ataenda kwa aliye na makalio madogo.

-----Huyo anayefuatwa kwa kigezo cha makalio, ni MWANAUME..???

2. Ukiwa unampa hela ye ataenda kumtafuta wa kutumia nae, usipo mpa atatafuta anae mpa hela.

-----Huyo anayefuatwa kwa kigezo cha hela, ni MWANAUME..???

3. Ukiwa unakatika sana kitandani ye atatafuta asiyekatika, usipokatika atatafuta anayekatika.

-----Huyo anayefuatwa kwa kigezo cha kukatika, ni MWANAUME..???


Kama majibu yako kwa maswali hapo juu ni MWANAMKE, basi BINADAMU WOTE NI JANGA...
 

'Love is cursed by Monogamy' - Kanye West & Jay Z 'No Church in the Wild'
 
Mwanaume kama wa kutulia atatulia tu kama mchepukaji hata umfanyie nini hataridhika binuka fanyeje mzungushie kiuno chochote hawaridhiki ndo kwanza anaenda kutafta mwingine aone yukoje
 
Kama ipo ipo tu labda sio ridhiki huyo mwanaume wa ivo thou all gud men are,dead and gone
 
Majanga yako peke yako usiyejua kumueka mwanaume ndani akatulia
 

Attachments

  • 1407146683195.jpg
    23.5 KB · Views: 332
hivi rasimu ya katiba mpya inasemaje kuhusu kuchepuka?
 

asipokuelewa atakuwa div 5
 
kwanini utumie plural mkuu
umetumia sample ya watu wangapi

kila ntu na tabia yake
 

kuna kaukweli flani leo.... ladha ile ile kila siku inachosha banah
 
Last edited by a moderator:
'Love is cursed by Monogamy' - Nas & Jay Z 'No Church in the Wild'
Dr hebu nipe tafsiri sahihi nyepesi au The Boss saidia mimi hapa maana kwa tafsiri hii sentensi ina ukakasi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…