Tatzo hilo nalo ila asilimia kubwa wengi awapendi kujiweka vzuri cjui shida IPO WAPMaana Nyie Ndio kichwa Cha familia. Samahani naomba niwaulize. Hivi suala la mavazi ya heshima Kwa wake zenu kabla kuolewa na mlivyowaoa Nyie mnalionaje?
Maana ni kama na Nyie mmekaliwa vichwa humo ndani, au Ndio uzungu? Au ushamba wangu wa Mbeya. Sisemi kujitenga kwamba mimi ni mtakatifu no, huenda mimi Ndio siyo mkamilifu kabisa ila tu naona kama wanajiachia mno humo barabarani na nguo zinazoonyesha maungo ya ndani.
Naweza Bora Islamic women kidogo hujisitiri lakini nao baadhi Yao naona wamechoka kujivika nguo zao hizo,sijui ni nzito? Au zitakuwa na joto sana🤦. Ningeweza kushauri kuwa wanawake wenzangu tujisitiri tuonekane kweli tumeheshimishwa lakini naongea na Nyie mnaosema sisi ni vichwa vya familia ..
Mbona kama mmekua mkia, hamna sauti Yaan🤣🙊
Kama mume kwani huwez niambia usivae hiki vaa kile.....au unaogopa n
Unaweza sema ila uelewa hususan mwanamke akiwa na hela umwambii kitu aisee atakuona🐂🐄🐄Kama mume kwani huwez niambia usivae hiki vaa kile.....au unaogopa nn
Hahah😂😂 ata saizi yako cku akipata anukupita apo na mini na husemi chochote🤣🤣🤣🤣 Ndo tunarudi pale Kuna mwamba alisema oa mwanamke wa level Yako,unaemmudu Yaan🤣🤣🤣 ila nimecheka aisee,anakuona ng'ombe?🤔🙌
Mkuu ata akiwa kajifunika mwanamke ni mwanamke tuSasa wakijifunika sisi ambao hatujaoa tutaona wapi
Hahah tatizo mkishatujua madhaifu Alf ujumlishe upate hela kunizid ndio kabsa unaweza sema ata bora nikawa na senene kuliko wee mwanaume🤣🤣Kweli wanawake tumekuwa wababe
Hili nalo tutaliangaliaMaana Nyie Ndo kichwa Cha familia.Samahani naomba niwaulize,Ivi suala la mavaz ya heshima Kwa wake zenu kabla kuolewa na mlivyowaoa Nyie mnalionaje?
Maana ni kama na Nyie mmekaliwa vichwa humo ndani,au Ndo uzungu? Au ushamba wangu wa mbeya.Sisemi kujitenga kwamba mi ni mtakatifu noo,huenda mi Ndo siyo mkamilifu kabisa ila tu naona kama wanajiachia mno humo barabarani na nguo zinazoonyesha maungo ya ndani.Naweza Bora Islamic women kidogo hujisitiri lakin nao baadhi Yao naona wamechoka kujivika nguo zao hizo,sijui ni nzito? Au zitakuwa na joto sana🤦.Ningeweza kushauri kuwa wanawake wenzangu tujisitiri tuonekane kweli tumeheshimishwa lakini naongea na Nyie mnaosema sisi ni vichwa vya familia ..Mbona kama mmekua mkia,hamna sauti Yaan🤣🙊
Utajitahid kumrekebisha ila usiishiwe na hela na nguvu za kiume viikisha hvo ata baibui LA milioni avaiMwanamke ambaye hakusikilizi na kukutii mume huyo hafai hata kwa kulumangia wangu nilimpiga marufuku kupaka rangi Kwa wapaka rangi wale vijana wanatembea na vijikapu, achilia mbali hayo mavazi
Kama nilimuoa wakati nina hela nitamaintain lakin kama alisema hata kulala njaa yuko Tayari basi itambidi ayaishi maneno yakeUtajitahid kumrekebisha ila usiishiwe na hela na nguvu za kiume viikisha hvo ata baibui LA milioni avai
Huo Ndo uanaume sasa, siyo kichwa Cha nyumba afu huna sauti.Mwanamke ambaye hakusikilizi na kukutii mume huyo hafai hata kwa kulumangia wangu nilimpiga marufuku kupaka rangi Kwa wapaka rangi wale vijana wanatembea na vijikapu, achilia mbali hayo mavazi
Bila shaka leo uko home njoo basi tufanye unyanduzi?🤣Hakika tutashukuru sana