Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
790
Katika ukurasa wake wa mtandao picha (instagram) kaposti hivi kutokana na shutuma alizotoa Jide zidi yake, sisi kama wanaume unamshahuri nini huyu jamaa yetu.
 

Attachments

  • 1423935612514.jpg
    1423935612514.jpg
    77.2 KB · Views: 8,958
  • 1423935632359.jpg
    1423935632359.jpg
    72.2 KB · Views: 10,309
Binafsi sioni kama ni busara kwa huyo bwana kuingia katika vita vya maneno kupitia mitandao ya kijamii na huyo mwanamke.

Huyo mwanamke rekodi yake ya inda, unyambi, na ushari inajulikana.

Na ni kweli si malaika hata kidogo na watu tulio na utanabahi wa haki na usawa hatuamini mazima yale yote yaliyozungumzwa naye juu ya huyo bwana.

Kwa sasa ampotezee tu.
 
Gardner umri umeenda sasa mtoto wake wa ndiyo kipimo tosha kuwa amekuwa, abadilike asipende kulelewa tena si ana kazi yake? Aoe aishi nomal life watu wana gonga bint yake sasa hivi abadikike
 
Mtoto wa Gardner yuko chuo sasa aache u marioo..
 

Attachments

  • 1423947758864.jpg
    1423947758864.jpg
    51.8 KB · Views: 1,508
shaurimbaya
Ndio maisha ya "celebrities". Kama nae ni kundi hilo basi ngoja wajibizane. Japo GGH ameshakuwa mtu mzima, hana sababu za kujibizana na mwanamke tena aliyekuwa mke wake kwa njia hii.
 
Last edited by a moderator:
Gadner anashindana na Mama samira kuvunja ndoa! Kama ndoa hawezi kuhimili awe anapiga tu, sasa amshukuru Jide kumuacha ili naye ajue kutumia jasho lake.
 
Back
Top Bottom