Wanaume tuko wapi?

Hapana mkuu
Ni kwamba siku hizi wanaume wenzetu wamegoma kukua wanabaki kuwa wavulana hadi uzeeni kwao.

Ukiangalia mwenendo wa wanaume wengi hivi sasa ni kutafuta mteremko wa maisha, ugoigoi na kutojijali kunakopelekea kutojali wenza wao.

Unadhani ongezeko la single mothers linatokana na wanawake kutozingatia uzazi wa mpango? La hasha, utakuta zaidi ya 60% ya wanawake wanaopata watoto kabla ya ndoa inatokana na irresponsible male partners ambao wakishatia mimba wanasepa kwenda kutafuta innocent females to victimize again.

Wanaume, turejee kwenye throne kwa kubeba majukumu yetu na kutumia akili za kichwa cha juu at least kwa 60% kuliko sasa.

Soma posts nyingi za mahusiano humu, zinahusu kuchakatana na kutafunana kihasara na kusagiana kunguni pale wenza wakihitilafiana. Inabidi utumie tochi kutafuta posts za malezi na ujenzi wa familia.

Tusiwalaumu wanawake kwa sababu they deserve our backup and support and most of it CARE ambapo kinyume chake tumewaachia mambo hayo wanawake wanayafanye kwa wanaume.

Fanya kazi
Usichague kazi.
Utazawadiwa kiazi
 
Acha utoto, wanawake wa mtaa gani hapa TZ wanajua habari za Beijing? Wewe mwenyewe hujui azimio lilihusu nini. Enzi za akina mongela wengi hawajazaliwa humu.
 
Acha utoto, wanawake wa mtaa gani hapa TZ wanajua habari za Beijing? Wewe mwenyewe hujui azimio lilihusu nini. Enzi za akina mongela wengi hawajazaliwa humu.
Perspective
 
Acha utoto, wanawake wa mtaa gani hapa TZ wanajua habari za Beijing? Wewe mwenyewe hujui azimio lilihusu nini. Enzi za akina mongela wengi hawajazaliwa humu.
Ki umri mimi ni baba yako,tena ni mume wa mama yako.
Karibu na asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…