The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,149
- 102,856
Kisha hao wenye huo mpango watafaidika na nini kama watafanikiwa na mpango huo?Mwanaume ni mbegu ya dunia....dunia ina mpango mkakati wa kumaliza wanaume hasa wa kiafrika.
Kisha hao wenye huo mpango watafaidika na nini kama watafanikiwa na mpango huo?Mwanaume ni mbegu ya dunia....dunia ina mpango mkakati wa kumaliza wanaume hasa wa kiafrika.
Hapana mkuuKuna kila viashiria kwamba nafasi yetu ya UANAUME imepokwa...hasa na mifumo ya sasa ya Dunia.
Kina mama waliotengenezwa na Beijing 1995 wameleta balaa.
Wanaume najua mnanielewa ......mauti imepanda kuuwa uzao wa kiume.....
Wanaume hatuna sehemu ya kutolea sumu......
tokea siku hio mwanaume alipoteza uanaume wake, alipoanza tu kusikiliza na kumtii mwanamke biashara ikaishoa hapo!Mungu alimuuliza..... "Adam uko wapi?"
Acha utoto, wanawake wa mtaa gani hapa TZ wanajua habari za Beijing? Wewe mwenyewe hujui azimio lilihusu nini. Enzi za akina mongela wengi hawajazaliwa humu.Kuna kila viashiria kwamba nafasi yetu ya UANAUME imepokwa...hasa na mifumo ya sasa ya Dunia.
Kina mama waliotengenezwa na Beijing 1995 wameleta balaa.
Wanaume najua mnanielewa ......mauti imepanda kuuwa uzao wa kiume.....
Wanaume hatuna sehemu ya kutolea sumu......
kheee🥱😆Mwinyi
Ki umri mimi ni baba yako,tena ni mume wa mama yako.Acha utoto, wanawake wa mtaa gani hapa TZ wanajua habari za Beijing? Wewe mwenyewe hujui azimio lilihusu nini. Enzi za akina mongela wengi hawajazaliwa humu.