Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,340
- 46,131
Kama alijua hana pesa kilimuwasha nini kuspend hiyo 80?Umeongea point sana mkuu
Pamoja na kwamba hiyo 80k inaweza kuwa nyingi kweli kwake ila labda na suala la value for money linahusika.Maisha sio magumu kiasi hicho mkuu.
Inaonekana kwa kipato chake 80k ni nyingi kutumia kwa mwanamke. Sasa kwanini amuumize kiti kwa kumfurahisha shetani?
Afanye mambo rahisi tu, asitumie pesa yake aingie CHAPUTA akizipata nyingi atakula wadada tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pamoja na kwamba hiyo 80k inaweza kuwa nyingi kweli kwake ila labda na suala la value for money linahusika.
Angefinyiwa Kwa ndichi vizuri na kurushwa rushwa labda angejikuta anasahau hata kiasi alichotumia. [emoji23][emoji23][emoji23] Ingekuwa worth it.
80k ni hela ndogo sana.Mi jumamosi hii nilitumia kama ifuatavyo kwa pisi kali Mke wa mtu;Wakuu habari.
Nawaza nilivyo spend kwa huyu msichana lkn at the end I got nothing. Msichana nimemrushia nauli, kaja kwangu kakaa siku 2 tumefanya mapenzi katumia hela, kaondoka nimempa nauli.
Almost nimetumia zaidi ya 80000 kwa siku mbili..nawaza nachoka[emoji3061][emoji3061]
Hii pesa ningeisave je? Au familia yang ingefaidi km ningewapa.
Maan natafakari apa nishafany mapenzi lkn sijaon nilichopata kabis zaid ya kuanz kuwaza hela yangu..afu msichana mwenyew sina naye future kabisa.
Wanaume mnatumia mbinu gani kutospend sna kwa mademu?
250k kwa ajili ya papuchi duuh..80k ni hela ndogo sana.Mi jumamosi hii nilitumia kama ifuatavyo kwa pisi kali Mke wa mtu;
1. Usafiri ( kumjazia mafuta gari yake ili anifuate) = 50k
2. Vinywaji wote wawili Windhoek,savannah =80k
3. Chakula 40k
4. kulala 40k
5.Kumtoa 30k
Around 250k ....leo mfukoni nipo hoi ila napigana kufa kupona ili kurecover ......ila sijutii sababu huyu mwanamke alinisumbua sana ,halalfu mumewe anatamba sana na mkewe sababu wote ni PHD holders
Na huo ndio uanaume. Ukitumia ukipata hasira pambana urudishe. Sasa kijana kutumia anataka na akishatumia anajuta anaona kama katupa hela
Nyege zimekuisha na akili yako imerudi sio kama unaona ubahili mkuu jitahidi uwe unapiga puchu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyege zimekuisha na akili yako imerudi sio kama unaona ubahili mkuu jitahidi uwe unapiga puchu
Sahihi kabisa mkuuKwa level ya uwezo wake anahitaji sana kuwa na nidham ya fedha vinginevyo akifanya matumizi kama hayo ataumia kila mara. Matumizi yakishazidi uwezo wako ni maumivu, unaingiza 5k, unatumia 50K kustarehe tena kwa kitu ambacho sio lazima sana hakika itakuumiza tu. Hayo maumivu pia yanakupa chachu ya kupambana zaidi kuongeza kipato na yanakualert kuacha matumizi yasiyo ya lazima. Tukumbuke starehe gharama.
Uko sahihi mkuu ..au akishindwa ajipige adhabu kufidia hasara aliyoipata ..mfano km kwa siku anatumia 10000 bhac aanze kutumia 5000 kwa siku 16 tuu anakua amemaliza deniJitahidi uirudishe hiyo 80K kwa njia nyingine. Mfano mimi nikitumia hela kwenye starehe kama hizo kesho yake napambana nairudisha yote au angalau nusu yake. Majuzi nilikuwa na pisi moja ikanigharimu sana but now nishairudisha yote kwenye akiba.
Katuangusha sana wanachama [emoji23] ..Mkuu lengo la kumpa nauli aje hapo geto kwako lilikuwa lipi?
Kama lengo lilikuwa kupunguza kichupa na hela zako za mawazo hivyo ungepiga nyeto tu (unga bando GB hata 2 ingia website pendwa NB:washa VPN kwanza) au unaenda kununua papuchi hadi za 4000 zipo. Ungesave hela kubwa sana .
Karibu sana CHAPUTA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] MkuuPiga nyeto au OA
Umeirudishaje, au umempitia denge ukamkaba ?? ..Jitahidi uirudishe hiyo 80K kwa njia nyingine. Mfano mimi nikitumia hela kwenye starehe kama hizo kesho yake napambana nairudisha yote au angalau nusu yake. Majuzi nilikuwa na pisi moja ikanigharimu sana but now nishairudisha yote kwenye akiba.
hahhahahahahahhaah huyu jamaaa hayupo seriousHii 80 inayokunyima raha mkuu ni hii hii ya kitanzania ya noti 8 za teni-teni?
Umeshalala na mtoto wa watu siku 2 unamtumia asubuhi, mchana na usiku kweli unalalamika mkuu?
Wewe mapenzi hayakufai, jikite kwenye nyeto mkuu hautajuta.