Tee wife material
JF-Expert Member
- Jan 15, 2019
- 323
- 350
No haja ya kuoa ipo but wanaume mume makini na watu mnaotaka kuanzisha nao familia,,,Mfano bi mkubwa asingekimbia familia yake hayo yote yasingetokea but kayaleta yote hayo yeye.Daa pole sana Tee wife material, kwa hali hii unaweza kuona hamna haja ya kuoa kama mambo yenyewe ndio haya!
Sasa mkuu imekuwaje tena wachukiane watoto wa mama mmojaWapo but mambo hayupo kama zamani wanachukiana wao Kwa wao but still ni ndugu zangu maisha yanaenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok in short,,baba yangu alioa mke wa1 ambae ni ma.Mkubwa wakazaa watoto7 but Kwa hao moja hakuwa na mzee,,,,Mzee alikuwa na pesa but ktk vitu watu wanazidiana mamkubwa akapata mchepuko wake alikuwa na pesa coz ya support alivyokuwa anapata Kwa watoto wake waishio USA.So ma mkubwa akatekeleza watoto na ndoa yake,,,,mtoto wa kwanza alimuacha kamaliza la7 wengine wadogo mno.So akatafuta mwenza ili amsaidie kulea hao viumbe wasio na hatia,,. So mwenza uyo ambaye ni mom yangu akaanza kuwalea hao watoto na MUNGU akambariki watoto wake6.Dada zangu na kaka zangu mzee aliwasomesha vizuri sana so wakawa na kazi zao nzuri na wengine wakaenda kufanya kazi Njee.Wakiwa na upendo wa dhati Kwa mzee na mama mlezi wao..Ma mkubwa uko yakawa yamemshinda akawa anajirudi but mzee kashamove on na akawa hapendi why watoto wake wampende mom mlezi sana kuliko yeye..Alichokifanya MUNGU anajua,,,coz alizalisha sumu mbaya sana kwa watoto either Kwa maneno au ata kwa dawa but watoto wake walimchukia baba saaaaanaaa[emoji22][emoji22]na kibaya ata mama na sisi watoto tuliyetoka tumboni kwake[emoji22][emoji22]..Wa kwanza alifikia kumkana mzee kabisa sio baba yake..Mzee coz ya usomi wake na hekima, Kwa watoto waliomuweka mbali alikaa nao mbali ivyo, sisi akatujenga ktk upendo na kibaya fedha nyingi aliwekeza ktk elimu ya watoto wakubwa. Tayari akawa ni mstaafu.Ilifikia hatua baba anaishi maisha magumu pamoja nasi na anawatoto wenye wadhifa wao daaah[emoji22][emoji22][emoji22].Mwisho mzee akaanza kumuumwa serious no one care upande wa watoto wake wakubwa. Na upande wetu wadogo kaka zangu na dada yangu hawana na maisha mazuri sana ikasababisha nistop shule ili kusaidia kaka yangu nayefatana nae ambae ni wapili kutoka mwisho coz alikuwa form6 njee asikwame na mm kuwa karibu na mzee.Mwisho wa siku mzee akasema furaha yake mm last born wake wake niwe mwanamke msomi na hatakufa mpaka anione naanza chuo,,,,Na kingine akaniambia ANAWAPENDA watoto wake wote,,,,haikupita wiki kweli nikaanza chuo nikamuacha home daaah nikiwa nimeahidiana nae kuonana mwez12 likizo daaah haikupita mwezi mzee akafariki[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].(I wish nisingeanza chuo mpaka Leo maybe asingekufa) Kwenye msiba watoto waliomkana walilia sana wakimuamsha waombe msamaha...But hakuamka mpaka Leo..R.IP baba nakupenda sana sana[emoji519][emoji519][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
duu poleOk in short,,baba yangu alioa mke wa1 ambae ni ma.Mkubwa wakazaa watoto7 but Kwa hao moja hakuwa na mzee,,,,Mzee alikuwa na pesa but ktk vitu watu wanazidiana mamkubwa akapata mchepuko wake alikuwa na pesa coz ya support alivyokuwa anapata Kwa watoto wake waishio USA.So ma mkubwa akatekeleza watoto na ndoa yake,,,,mtoto wa kwanza alimuacha kamaliza la7 wengine wadogo mno.So akatafuta mwenza ili amsaidie kulea hao viumbe wasio na hatia,,. So mwenza uyo ambaye ni mom yangu akaanza kuwalea hao watoto na MUNGU akambariki watoto wake6.Dada zangu na kaka zangu mzee aliwasomesha vizuri sana so wakawa na kazi zao nzuri na wengine wakaenda kufanya kazi Njee.Wakiwa na upendo wa dhati Kwa mzee na mama mlezi wao..Ma mkubwa uko yakawa yamemshinda akawa anajirudi but mzee kashamove on na akawa hapendi why watoto wake wampende mom mlezi sana kuliko yeye..Alichokifanya MUNGU anajua,,,coz alizalisha sumu mbaya sana kwa watoto either Kwa maneno au ata kwa dawa but watoto wake walimchukia baba saaaaanaaa[emoji22][emoji22]na kibaya ata mama na sisi watoto tuliyetoka tumboni kwake[emoji22][emoji22]..Wa kwanza alifikia kumkana mzee kabisa sio baba yake..Mzee coz ya usomi wake na hekima, Kwa watoto waliomuweka mbali alikaa nao mbali ivyo, sisi akatujenga ktk upendo na kibaya fedha nyingi aliwekeza ktk elimu ya watoto wakubwa. Tayari akawa ni mstaafu.Ilifikia hatua baba anaishi maisha magumu pamoja nasi na anawatoto wenye wadhifa wao daaah[emoji22][emoji22][emoji22].Mwisho mzee akaanza kumuumwa serious no one care upande wa watoto wake wakubwa. Na upande wetu wadogo kaka zangu na dada yangu hawana na maisha mazuri sana ikasababisha nistop shule ili kusaidia kaka yangu nayefatana nae ambae ni wapili kutoka mwisho coz alikuwa form6 njee asikwame na mm kuwa karibu na mzee.Mwisho wa siku mzee akasema furaha yake mm last born wake wake niwe mwanamke msomi na hatakufa mpaka anione naanza chuo,,,,Na kingine akaniambia ANAWAPENDA watoto wake wote,,,,haikupita wiki kweli nikaanza chuo nikamuacha home daaah nikiwa nimeahidiana nae kuonana mwez12 likizo daaah haikupita mwezi mzee akafariki[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].(I wish nisingeanza chuo mpaka Leo maybe asingekufa) Kwenye msiba watoto waliomkana walilia sana wakimuamsha waombe msamaha...But hakuamka mpaka Leo..R.IP baba nakupenda sana sana[emoji519][emoji519][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote mwisho wa ubaya nahisi sio aibu Bali ni ubaya uo uo so,,,iko ivyo mambo yamebadilika hawapendani,,,na sisi wadogo tunaonekana ni watu sasa,,,Ata Mimi [emoji4][emoji4]mtoto wa baba daah
Kweli but kupitia makosa tunajifunza,,, .dah inasikitisha sana asee
Asante yalishapita but imefanya nimkumbuke baba yangu tu na nilie nikipokua naandika ILI WENGINE wajifunze
Asante yalishapita but imefanya nimkumbuke baba yangu tu na nilie nikipokua naandika ILI WENGINE wajifunze
Sent using Jamii Forums mobile app
wengine hili tunaliona na tunalipitia. Mimi wazazi wote wapo ila kuna wakati naona mama analeta hoja za kutujaza sumu akilini ila kwa kuwa nishakomaa kiakili huwa nampotezea tu na equalize mambo. Nawapenda sana wazazi wangu, sitamani hata siku moja kuona mmoja akimfitinisha mwenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee inasikitisha sanaKuna video nmeona jamaa mkongo kawekewa sumu na mkewe halaf akamrekodi wakat anakata roho.
Well said.ASANTE sana wanaume mkuje msome huu ni ufunuo mwenzenu kafunuliwa na MUNGU ili mtambue[emoji4][emoji4].Ni kwel mwanamke ni chanzo kikubwa cha kuwachukulia advantage watoto ktk mahusiano yaliyokufa...Na mfano halisi wa baba yangu na watoto wa ma mkubwa..But kikubwa ndoa au kuzaa na mtu kunaitaji umakini sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok in short,,baba yangu alioa mke wa1 ambae ni ma.Mkubwa wakazaa watoto7 but Kwa hao moja hakuwa na mzee,,,,Mzee alikuwa na pesa but ktk vitu watu wanazidiana mamkubwa akapata mchepuko wake alikuwa na pesa coz ya support alivyokuwa anapata Kwa watoto wake waishio USA.So ma mkubwa akatekeleza watoto na ndoa yake,,,,mtoto wa kwanza alimuacha kamaliza la7 wengine wadogo mno.So akatafuta mwenza ili amsaidie kulea hao viumbe wasio na hatia,,. So mwenza uyo ambaye ni mom yangu akaanza kuwalea hao watoto na MUNGU akambariki watoto wake6.Dada zangu na kaka zangu mzee aliwasomesha vizuri sana so wakawa na kazi zao nzuri na wengine wakaenda kufanya kazi Njee.Wakiwa na upendo wa dhati Kwa mzee na mama mlezi wao..Ma mkubwa uko yakawa yamemshinda akawa anajirudi but mzee kashamove on na akawa hapendi why watoto wake wampende mom mlezi sana kuliko yeye..Alichokifanya MUNGU anajua,,,coz alizalisha sumu mbaya sana kwa watoto either Kwa maneno au ata kwa dawa but watoto wake walimchukia baba saaaaanaaa[emoji22][emoji22]na kibaya ata mama na sisi watoto tuliyetoka tumboni kwake[emoji22][emoji22]..Wa kwanza alifikia kumkana mzee kabisa sio baba yake..Mzee coz ya usomi wake na hekima, Kwa watoto waliomuweka mbali alikaa nao mbali ivyo, sisi akatujenga ktk upendo na kibaya fedha nyingi aliwekeza ktk elimu ya watoto wakubwa. Tayari akawa ni mstaafu.Ilifikia hatua baba anaishi maisha magumu pamoja nasi na anawatoto wenye wadhifa wao daaah[emoji22][emoji22][emoji22].Mwisho mzee akaanza kumuumwa serious no one care upande wa watoto wake wakubwa. Na upande wetu wadogo kaka zangu na dada yangu hawana na maisha mazuri sana ikasababisha nistop shule ili kusaidia kaka yangu nayefatana nae ambae ni wapili kutoka mwisho coz alikuwa form6 njee asikwame na mm kuwa karibu na mzee.Mwisho wa siku mzee akasema furaha yake mm last born wake wake niwe mwanamke msomi na hatakufa mpaka anione naanza chuo,,,,Na kingine akaniambia ANAWAPENDA watoto wake wote,,,,haikupita wiki kweli nikaanza chuo nikamuacha home daaah nikiwa nimeahidiana nae kuonana mwez12 likizo daaah haikupita mwezi mzee akafariki[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].(I wish nisingeanza chuo mpaka Leo maybe asingekufa) Kwenye msiba watoto waliomkana walilia sana wakimuamsha waombe msamaha...But hakuamka mpaka Leo..R.IP baba nakupenda sana sana[emoji519][emoji519][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufika hapo nimewaogopa sana wanawake. Mi sikuthubutu hata kuiangaliaKuna video nmeona jamaa mkongo kawekewa sumu na mkewe halaf akamrekodi wakat anakata roho.
Aisee pole sana Mkuu, ni kumshkuru Mungu kwa kila jambo.Ok in short,,baba yangu alioa mke wa1 ambae ni ma.Mkubwa wakazaa watoto7 but Kwa hao moja hakuwa na mzee,,,,Mzee alikuwa na pesa but ktk vitu watu wanazidiana mamkubwa akapata mchepuko wake alikuwa na pesa coz ya support alivyokuwa anapata Kwa watoto wake waishio USA.So ma mkubwa akatekeleza watoto na ndoa yake,,,,mtoto wa kwanza alimuacha kamaliza la7 wengine wadogo mno.So akatafuta mwenza ili amsaidie kulea hao viumbe wasio na hatia,,. So mwenza uyo ambaye ni mom yangu akaanza kuwalea hao watoto na MUNGU akambariki watoto wake6.Dada zangu na kaka zangu mzee aliwasomesha vizuri sana so wakawa na kazi zao nzuri na wengine wakaenda kufanya kazi Njee.Wakiwa na upendo wa dhati Kwa mzee na mama mlezi wao..Ma mkubwa uko yakawa yamemshinda akawa anajirudi but mzee kashamove on na akawa hapendi why watoto wake wampende mom mlezi sana kuliko yeye..Alichokifanya MUNGU anajua,,,coz alizalisha sumu mbaya sana kwa watoto either Kwa maneno au ata kwa dawa but watoto wake walimchukia baba saaaaanaaa[emoji22][emoji22]na kibaya ata mama na sisi watoto tuliyetoka tumboni kwake[emoji22][emoji22]..Wa kwanza alifikia kumkana mzee kabisa sio baba yake..Mzee coz ya usomi wake na hekima, Kwa watoto waliomuweka mbali alikaa nao mbali ivyo, sisi akatujenga ktk upendo na kibaya fedha nyingi aliwekeza ktk elimu ya watoto wakubwa. Tayari akawa ni mstaafu.Ilifikia hatua baba anaishi maisha magumu pamoja nasi na anawatoto wenye wadhifa wao daaah[emoji22][emoji22][emoji22].Mwisho mzee akaanza kumuumwa serious no one care upande wa watoto wake wakubwa. Na upande wetu wadogo kaka zangu na dada yangu hawana na maisha mazuri sana ikasababisha nistop shule ili kusaidia kaka yangu nayefatana nae ambae ni wapili kutoka mwisho coz alikuwa form6 njee asikwame na mm kuwa karibu na mzee.Mwisho wa siku mzee akasema furaha yake mm last born wake wake niwe mwanamke msomi na hatakufa mpaka anione naanza chuo,,,,Na kingine akaniambia ANAWAPENDA watoto wake wote,,,,haikupita wiki kweli nikaanza chuo nikamuacha home daaah nikiwa nimeahidiana nae kuonana mwez12 likizo daaah haikupita mwezi mzee akafariki[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].(I wish nisingeanza chuo mpaka Leo maybe asingekufa) Kwenye msiba watoto waliomkana walilia sana wakimuamsha waombe msamaha...But hakuamka mpaka Leo..R.IP baba nakupenda sana sana[emoji519][emoji519][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app