Wanaume tujihadhari sana na wanawake!

We endelea kuwahudumia watoto wako wakiwa wakubwa watajua nani alikuwa muongo baina ya ninyi wazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume huwa wanafikiri watoto wanajazwa sumu, wakifikiri watoto ni wajinga sana hawaoni hali halisi. Yawezekana kweli wanajazwa sumu, lakini watoto wana akili pia hivyo wafanye tu nafasi zao kama baba then wataona matokeo yake.
 
Nyie ndio mtakua mmetuambukiza tabia zenu mbaya!
"ishini nao kwa akili"
Kwahiyo mkuu unatuthibitishia kuwa akili hamna hadi mnaazima zetu?!!!!![emoji134][emoji134]
Basi no wonder vilio vya ajabu ajabu kiasi hiki.
 
Usijali kabisaaa! Naamini Mungu atakupa wa kufanana nawe! Utafurahi na kuuona uzee wako ukiwa na umpendaye!

Mie sio mkorofi kabisaaa, Sipendi tuu anko wangu aonewe!
Aisee una maneno ya kutia moyoo sana!mpaka nimeuona uzee wangu ukiwa mzuri kabisa huku bebee akiwa pembeni ananipetipeti!
 
"ishini nao kwa akili"
Kwahiyo mkuu unatuthibitishia kuwa akili hamna hadi mnaazima zetu?!!!!![emoji134][emoji134]
Basi no wonder vilio vya ajabu ajabu kiasi hiki.
Nimezungumzia tabia siyo akili!wakati mwingine nwanaume anaweza akawa mtu mwema kabisa sema tabia za mkewe zikamfanya afanye mambo ambayo hakuwa na mpango wa kuyafanya!
 
hata mm naona, napambana kuachia mtu nisepe zangu
 
Daa pole sana Tee wife material, kwa hali hii unaweza kuona hamna haja ya kuoa kama mambo yenyewe ndio haya!
 
Nimezungumzia tabia siyo akili!wakati mwingine nwanaume anaweza akawa mtu mwema kabisa sema tabia za mkewe zikamfanya afanye mambo ambayo hakuwa na mpango wa kuyafanya!
Kwahiyo wewe akili unafikiri ni zile za darasani na hazihusiani na tabia?
Ukiona mtu amekuinfluence kufanya jambo ambalo hukutaka kulifanya basi jua huyo mtu ana akilii kukuzidi.
 
Kwahiyo wewe akili unafikiri ni zile za darasani na hazihusiani na tabia?
Ukiona mtu amekuinfluence kufanya jambo ambalo hukutaka kulifanya basi jua huyo mtu ana akilii kukuzidi.
Sawa!
 
Pole sana mkuu. Dunia tambara bovu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…